Mhusika mkuu
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 452
- 537
Kwa hiyo wamemkomesha marehemu sio?Membe hakupata kuhudhuria wala kumlilia Magufuli kwenye kifo chake jambo ambalo mke wa Magufuli naye hajafanya kuhusu kifo cha Membe.
Ikumbukwe, wanazi wote wa upande wa Membe hawakuhudhuria ima ibada ama kuagwa kwa JPM vivyo hivyo wanazi wa JPM ukimwondoa (double agent Makonda) hawajajishughulisha kwalo.
Wapi Bashiru na yake jamaa Polepole?!
Funzo:
Malipo ni hapa hapa Duniani.