Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Membe hakupata kuhudhuria wala kumlilia Magufuli kwenye kifo chake jambo ambalo mke wa Magufuli naye hajafanya kuhusu kifo cha Membe.
Ikumbukwe, wanazi wote wa upande wa Membe hawakuhudhuria ima ibada ama kuagwa kwa JPM vivyo hivyo wanazi wa JPM ukimwondoa (double agent Makonda) hawajajishughulisha kwalo.
Wapi Bashiru na yake jamaa Polepole?!
Funzo:
Malipo ni hapa hapa Duniani.
Kwani kuna mtu amewataka wahudhurie? Mbona mnajilazimishia wakati watu hawawahitaji? Kwa taarifa yako hata wangeenda wangishia kuwaudhi tu hao wahusika. Msijipe umuhimu msiokuwa nao.