Kama ilivyokuwa kwa Membe kutokudhuria pia Bashiru, mke wa Magufuli na wengine wengi hawajahudhuria

Watu wanahangaika na issue ya Kariakoo wewe unaleta majungu. Unawaza chuki mpaka lini. Mbona hizi chuki hazikiwepo kwa Nyerere Mkapa au Maalim Seif?.
 
Wakihudhuria hao halafu ndo inakuwaje?
 
Makonda ndio alikuwa mtoto pendwa wa Magufuli na kahudhuria Msiba. Wewe una lako jambo
 
Hao kutokwenda familia ya Membe au Membe mwenye atapata hasara gani?! Simply nothing.
 
Hapo kuna malipo gani?? Maziko ya JPM yalifanyika ilivyopaswa na ya BM yanaenda kama olivyopaswa.
Mazishi sio ushabiki.
 
Cha msingi na sisi tuliokuwa tuna muunga mkono jpm mpaka pale kifo kilipotutenganisha tumefurahishwa na kifo cha wale wazuri hawafi.
Ndio tofauti ya kifo Cha Maalim seif na Magufuli. Maalim Seif kaaja wazanzibar wamoja ila Magufuli kaacha watu wanashangilia vifo na mgawanyiko. Kesho akifa mama Magufuli Kuna watu watashangangilia and vice versa, tunakoelekea siko.
 
kwa hivyo Membe hatozikwa au vipi? Au hatapewa punguzo la dhambi kwa vile hao vigogo hawapo kwenye kuaga?
 
Mbona hujiulizi why Mzee yule amefika baada ya sa100 kuondoka?

Wakati mwili ukiagwa, Kuna wafanyabiashara walikuwa wanamalizia maandalizi Yao ya mgomo. Hujiulizi kama hawakujua Kuna msiba wa membe?

Tuache UCHIMVI msibani.
 
Tunakoelekea siko kuzuri, kesho akifa mama yake Magufuli watu washangilie?. Hii chuki ikipandwa tutafika sehemu waliyofikia Rwanda mwaka 1994.
 
Tunakoelekea siko kuzuri, kesho akifa mama yake Magufuli watu washangilie?. Hii chuki ikipandwa tutafika sehemu waliyofikia Rwanda mwaka 1994.
Viongozi wetu wa juu wangetoka kukemea,

Nina Hakika NYUMBU wote wa Serengeti wangefuata njia ya viongozi wao.
 
Kutokuhudhuria kwao ndio kutamfufua Mpendwa wetu Mwendakuzimu Shujaa wa Africa ?
 
Kwa hiyo wasipohudhuria ndio roho yake haiendi inakopaswa kwenda? Au wao wakihudhuria ndio moja Kwa moja peponi.

Hata tufe woooote, Mie as long nikikumbuka Jiwe is no longer, roho yangu burudani sana.
Haswaaaaa, Burdaaaaaaan Kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…