Kama ilivyokuwa kwa Membe kutokudhuria pia Bashiru, mke wa Magufuli na wengine wengi hawajahudhuria


Kwani kuna mtu amewataka wahudhurie? Mbona mnajilazimishia wakati watu hawawahitaji? Kwa taarifa yako hata wangeenda wangishia kuwaudhi tu hao wahusika. Msijipe umuhimu msiokuwa nao.
 
Darasa huru.
 
Mkuu wewe utakuwa bado na sonona nzito sana kuhusu kifo cha Magufuli. Omba sana uachiwe - uwe released toka kwenye maumivu hayo makali. Hakuna mapambano wala ushindi wa heri katika misiba. Sana sana kuna kujionyesha muflisi kimaadili na kiutu (moral bankruptcy).

Tena ni kama unamuadhirisha Mama Janet Magufuli; unaichafua taswira na haiba yake njema kama vile naye amekuwa mdau wa huu ushenzi wa kukomoana katika siasa uchwara. Labda ututhibitishie kuwa amekuruhusu umsemee hivyo. Did you clear with her? Eti kafanya tit for tat kutohudhuria msiba wa Membe! She has never been known to wallow in that kind of cesspit!
 
Bashiru ndio nani mbele ya JK,kinana ,samia kiufupi hatujaona pengo hata kama angekuwepo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hutazikwa na watu wote - wkt ukifa wengine watakuwa wagonjwa hawatakuja, wengine watakuwa safarini hawatakuja, wengine watauguza hawatakuja ......
Ishi kwa ibada acha uchonganishi
 
Hivi ujinga mnaotoa wapi nyie watu.Kwahiyo misiba niyakulazimishana.kwani inaongeza au kupunguza nini?.Hopeless kabisa.
 
(Double agent 😅) !??
 
Hata wasipohudhuria hawana faida yoyote.
 
Kweli bado makamba
 
KATAJUTRAAAAAA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…