Kama ilivyokuwa kwa Membe kutokudhuria pia Bashiru, mke wa Magufuli na wengine wengi hawajahudhuria

Kwa hiyo wamemkomesha marehemu sio?
 
Kuzika sio Jambo la lazima kama watu woooootee wahudhurie jmniii na pia tusiwahukumu watu Kwa Hilo maana binaadamu inawezekana alikuwa na matatizo au hakujisikia kwenda!mm nawapa kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere ktk kifo cha Oscar Kambona hakuhudhuria na vile walivyokuwa enzi zao,tena basi wakati meili wa Kambona unafika uwanja wa ndege wa Dar Mwalimu alipishana nao yy akisafiri nje ya nchi lkn haikuwa nongwa WA maneno ,sasa kama Membe hakuhudhuria mashishi ya Makufuli na mke wa Makufuli na Hilo kundi linaloitwa Lao hawakuhudhuria Kwa Membe shida iko wapi?
 
Dunia inaenda kwa kasi sana tena sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…