Kama Israel ana nguvu kubwa kwanini US kaingia vitani?

canfi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2022
Posts
1,411
Reaction score
1,585
Uongo uongo kila siku. Ooooh mossad oooh IDF. Mliambiwa hawa Israel hawana nguvu mnayoihubili kila siku hapa jukwaani. Kitendo cha US kuishambulia Iran kinamaanisha wanaunganisha nguvu kupigana na Iran kwasababu wayahudi pekee ni weupe. Na bado kuna madhabiki wa mashoga wataendelea nyimbo za kuwasifu Israel
 
markup_63135 (1).png
 
Ulikuwa unapendelea kipigo kitoke kwa Israel pekee?Huoni kwamba ni vizuri USA kaweka na nyongeza ya kipigo?
 
Ndio nguvu yenyewe bro. Unadhani RC Chakamila wa Dar angekuwa na Nguvu bila support?
Uongo uongo kila siku. Ooooh mossad oooh IDF. Mliambiwa hawa Israel hawana nguvu mnayoihubili kila siku hapa jukwaani. Kitendo cha US kuishambulia Iran kinamaanisha wanaunganisha nguvu kupigana na Iran kwasababu wayahudi pekee ni weupe. Na bado kuna madhabiki wa mashoga wataendelea nyimbo za kuwasifu Israel
 
Kwani Iran hana wapambe wanao msuport ? ,hakuna vita ya kupigana peke yako sasa hivi . We huoni hata majirani wa Irani wako upande upi
Majirani gani?
Hivyo vikundi vya proxy kama Houthi?
 
Back
Top Bottom