Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Lebanon tayari, kwisha habari sasa wako Yemeni. Itabaki Jordan tu. Syria wameshamalizana nayo. Wamegundua anayewapa kibri ni IranHata Gaza walianza hivyo,
Lebanon tayari, kwisha habari sasa wako Yemeni. Itabaki Jordan tu. Syria wameshamalizana nayo. Wamegundua anayewapa kibri ni IranHata Gaza walianza hivyo,
Nenda kasikilize Majadiriano ya Tundu Lissu akiwa Nairobi ndio utaelewa uhusiano uliopo kati ya Marekani na Israeli.Kitendo cha Trump kurudi nyumbani chap baada ya vita kuanza kina maana kubwa! Kuna haja ya kujua nafasi ya Israel kwa Marekani kikatiba. Huwenda ni Waisrael wenyewe ndio wanashambulia Iran kutokea Marekani. Pia kuna haja ya kujua kama Marekani ina full control na jeshi lake bila mikono ya Israel!
Tushimalizana na hao magianti basi watabaki mabua mabua tu.Marekani ni mjinga,hamuwezi Iran
piga ua garagaza muamerika lazima amsaidie muisrael, wale waliijiapiza kuwa hawatailaani israel watalaaniwa na kulaanikaZakuambiwa changanya na zako, mbona mwa wa pili huu anahangaika na wana mgambo wa Hamas, mbona wiki ya pili hii anatandikwa na Muajemi mpaka anasidiwa na US, huo ujinga wa six days ambizaneni huko huko.
Russia haja wahi kusema ataifuta Israel
Kinachomfanya US awe upande wa Israeli ni nini? Kuna kitu myahudi kawazidi wengine ndo maana wanataka kuwa upande wa Israeli.Bila msaada wa US, Israeli hana ubavu hata wa kupambana na Hamas.
Wewe ni mgonjwa wa akili wahi mirembesix days war unaikumbuka? Israel pekee iliwasambaratisha waarabu wote mashariki ya kati mjuba. Israel pekee inaweza kuifanya iran kitu mbaya. Hao hamas kuwapiga inabidi uwapige kinamna ili usiue raia wengi. Sio kama israel haiwezi kupambana na kakikundi hako
Mjibu hoja yake, yeye hajazungumzia mambo ya mirembeWewe ni mgonjwa wa akili wahi mirembe
mbona ni mpuuzi hivi, mgonjwa wa akili huwa anajipeleka hospitalini?Wewe ni mgonjwa wa akili wahi mirembe
🤣Uongo uongo kila siku. Ooooh mossad oooh IDF. Mliambiwa hawa Israel hawana nguvu mnayoihubili kila siku hapa jukwaani. Kitendo cha US kuishambulia Iran kinamaanisha wanaunganisha nguvu kupigana na Iran kwasababu wayahudi pekee ni weupe. Na bado kuna madhabiki wa mashoga wataendelea nyimbo za kuwasifu Israel
Ni kweli kabisa Israel haina nguvu maana June 13,2025 ilivamia Iran ikaharibu mifumo yote ya ulinzi na kuanza kushambulia maeneo ya vinu vya kinuclear. Hatukuweza kuona upinzani wowote kutoka Jeshi la anga la Iran dhidi ya ndege za Israel.Uongo uongo kila siku. Ooooh mossad oooh IDF. Mliambiwa hawa Israel hawana nguvu mnayoihubili kila siku hapa jukwaani. Kitendo cha US kuishambulia Iran kinamaanisha wanaunganisha nguvu kupigana na Iran kwasababu wayahudi pekee ni weupe. Na bado kuna madhabiki wa mashoga wataendelea nyimbo za kuwasifu Israel
Je unaweza kunitajia nchi yoyote duniani inayoweza kupigana vita bila msaada wa nchi nyingine?? Kama supapawa Marekani na Urusi wanaweza kusaidiwa Israel iweje mpige kelele?Huu ndio ukweli,Taifa teule,linamtegemea Marekani limsaidie,wakati Iran iko peke yake.
taja mpambe wa iran na huyo mpambe kafanya nini kuidhulu israeli...pale moto unapelekwa na iran tuKwani Iran hana wapambe wanao msuport ? ,hakuna vita ya kupigana peke yako sasa hivi . We huoni hata majirani wa Irani wako upande upi
Vita Vimeisha Mkuu, amkaaa kumekucha.Uongo uongo kila siku. Ooooh mossad oooh IDF. Mliambiwa hawa Israel hawana nguvu mnayoihubili kila siku hapa jukwaani. Kitendo cha US kuishambulia Iran kinamaanisha wanaunganisha nguvu kupigana na Iran kwasababu wayahudi pekee ni weupe. Na bado kuna madhabiki wa mashoga wataendelea nyimbo za kuwasifu Israel
Pole Sana kijana maumivu yako tunayaelewa umechagua upande siyo. Alafu Shia sio muslimsIsrael ni chui kwenye karatasi na Trump ka proved kuwa ni stupid
Unampangia adui yako silaha ya kukupiga, na nyie tafuteni sponsorUongo uongo kila siku. Ooooh mossad oooh IDF. Mliambiwa hawa Israel hawana nguvu mnayoihubili kila siku hapa jukwaani. Kitendo cha US kuishambulia Iran kinamaanisha wanaunganisha nguvu kupigana na Iran kwasababu wayahudi pekee ni weupe. Na bado kuna madhabiki wa mashoga wataendelea nyimbo za kuwasifu Israel
Uzuri humu jf wote tunabwabwaja tu hakuna aliyeko kwenye siri za hao watu alete habari kamili. So tuendelee kubwabwaja tu 😂😂😂😂Uongo uongo kila siku. Ooooh mossad oooh IDF. Mliambiwa hawa Israel hawana nguvu mnayoihubili kila siku hapa jukwaani. Kitendo cha US kuishambulia Iran kinamaanisha wanaunganisha nguvu kupigana na Iran kwasababu wayahudi pekee ni weupe. Na bado kuna madhabiki wa mashoga wataendelea nyimbo za kuwasifu Israel