We kenge tazama dalili hizo napo sema Trump ni stupid kama wewe na uhakika nacho ongea. US hakupata kitu huko, Trump lazima ajisifie hata kama katoka zero, kwenda kumwaga maboom yana cost karibu na Billion afu awambie wamarekani nimetoka kapa siwatazidi kumdharau, na yeye alidai ni mtu wa peace.
Tazama Sattilite images zinaonyesha trucks kwa nyingi ziko pale Fawde. kabla ya siku mbili ya USA ku attack.
View: https://youtu.be/YD_8RgZhib0?si=y7lpeLyPt6xnZKRm
Afu mnao sema B2 haionekani Iran wanasema tulikuwa tunaziona kabisa
عاجل | الحرس الثوري الإيراني: مسارات الطائرات المشاركة في العدوان الأميركي حددت وهي تحت المراقبة
youtube.com