Kama Israel ana nguvu kubwa kwanini US kaingia vitani?

Kama Israel ana nguvu kubwa kwanini US kaingia vitani?

Muiran wa Tandaimba umepaniki, tulieni mpelekewe moto

Huyo Iran kilichomtuma apige ubalozi wa marekani ni kipi, chokochoko kaanza mwenuewe acha anyooshwe
Hamas wamemshinda. Haiwezi Iran. Eti kuwapata mateka ni mpaka yafanyike majadiliano
 
Israel na marekani walikua na mpango wao wa kufanya walichofanya mapema sana Israel alisafisha njia marekani amemalizia mpango lakini sio kwamba marekani imeenda kuwasaidia Israel, Tulia uandike vizuri
Andika vizuri wewe usiyeamini uwezo halisi wa Israel ambaye hata mateka wake anawapata kwa majadiliano
 
Yeye mifumo yake ipoje, maana kila akishambuliwa anapigika kirahisi
hakuna mfumo wowote wa anga unaozuia makombora kwa asilimia 100, makombora yanayorushwa kwenda israel ni asilimia tano hadi kumi tuu ndo yanatua, asilimia tisini yote yanazuiwa angani, urusi yenyewe ina mifumo imara kama S500 lakini drone za ukraine zinapenya hadi moscow
 
Yeye mifumo yake ipoje, maana kila akishambuliwa anapigika kirahisi
iran mfumo wake wa ulinzi ndo uko ziro ndo mana israel amepafanya kama sebuleni kwake yani anaingia na kutoka muda anaotaka yeye
 
Hamas wamemshinda. Haiwezi Iran. Eti kuwapata mateka ni mpaka yafanyike majadiliano
mtu ambae yuko sebuleni kwako anakupiga anayotaka yeye unasemahe hamuwezi ebu tumia akili kufikiri
 
Uongo uongo kila siku. Ooooh mossad oooh IDF. Mliambiwa hawa Israel hawana nguvu mnayoihubili kila siku hapa jukwaani. Kitendo cha US kuishambulia Iran kinamaanisha wanaunganisha nguvu kupigana na Iran kwasababu wayahudi pekee ni weupe. Na bado kuna madhabiki wa mashoga wataendelea nyimbo za kuwasifu Israel
Nguvu ya Israel ni Mungu. Kwasasa Mungu ameinua Marekani kuisaidia Israel lakini siku zinakuja ambapo Marekani haitaweza kuisaidia Israel na hapo ndipo Mungu mwenyewe ataingilia kati na dunia yote itashangazwa na kukiri kuwa kweli Israel ni Taifa la Mungu.
 
Je unaweza kunitajia nchi yoyote duniani inayoweza kupigana vita bila msaada wa nchi nyingine?? Kama supapawa Marekani na Urusi wanaweza kusaidiwa Israel iweje mpige kelele?
Nadhani kuna utofauti kati ya kusaidia na wewe kuingia vitani.
 
Nguvu ya Israel ni Mungu. Kwasasa Mungu ameinua Marekani kuisaidia Israel lakini siku zinakuja ambapo Marekani haitaweza kuisaidia Israel na hapo ndipo Mungu mwenyewe ataingilia kati na dunia yote itashangazwa na kukiri kuwa kweli Israel ni Taifa la Mungu.
Jiandae kutukanwa na kupigwa mawe na Wafuga Midevu na Majini maana hawpendi kabisa kusikia habari kama hizi!!! Na wako tayari hata kukutumia Majini yao!!!
 
Hapo kwenye neno silaha zote za US ni za Waisrael ndio sijapaelewa vizuri,labda tuseme Israel ni Jimbo la US pale Middle East
 
Muiran wa Tandaimba umepaniki, tulieni mpelekewe moto

Huyo Iran kilichomtuma apige ubalozi wa marekani ni kipi, chokochoko kaanza mwenuewe acha anyooshwe
Je? Ulisoma vizuri kilicho tokea kwenye Ubarozi wa Merikani huko Israel - mbona Merikani ilipuuzia kwamba Ubarozi huo haulengwa makusudi no Iran ndio maana hapakutokea uharibifu au damages za maana.
 
hakuna mfumo wowote wa anga unaozuia makombora kwa asilimia 100, makombora yanayorushwa kwenda israel ni asilimia tano hadi kumi tuu ndo yanatua, asilimia tisini yote yanazuiwa angani, urusi yenyewe ina mifumo imara kama S500 lakini drone za ukraine zinapenya hadi moscow
Kitu cha kwanza S500 haikuwa designed kwa kudhibiti kitu kidogo kama drones,uliundwa kwa ajili ya air defense system dhidi ya ndege za vita no bombers za NATO pamoja no kudhibiti missiles type zote za NATO.

Siku za hivi karibuni Urusi imeunda anti drone system ambayo success rate yake ya kuintercept no ku-destroy DRONES ni almost 95.5 percent.
 
Back
Top Bottom