Kama Israel ana nguvu kubwa kwanini US kaingia vitani?

Kama Israel ana nguvu kubwa kwanini US kaingia vitani?

Bila msaada wa US, Israeli hana ubavu hata wa kupambana na Hamas.
six days war unaikumbuka? Israel pekee iliwasambaratisha waarabu wote mashariki ya kati mjuba. Israel pekee inaweza kuifanya iran kitu mbaya. Hao hamas kuwapiga inabidi uwapige kinamna ili usiue raia wengi. Sio kama israel haiwezi kupambana na kakikundi hako
 
Uongo uongo kila siku. Ooooh mossad oooh IDF. Mliambiwa hawa Israel hawana nguvu mnayoihubili kila siku hapa jukwaani. Kitendo cha US kuishambulia Iran kinamaanisha wanaunganisha nguvu kupigana na Iran kwasababu wayahudi pekee ni weupe. Na bado kuna madhabiki wa mashoga wataendelea nyimbo za kuwasifu Israel
Kwa taarifa yako marekani ni ka branch Cha izrael. Wataslamu karibia wote wa technolojia za vifaa vya kijeshi marekani ni wa WAIZRAEL. Ukiwaondoa waizrael marekani Hana jeshi
 
six days war unaikumbuka? Israel pekee iliwasambatisha waarabu wote mashariki ya kati mjuba. Israel pekee inaweza kuifanya iran kitu mbaya. Hao hamas kuwapiga inabidi uwapige kinamna ili usiue raia wengi. Sio kama israel haiwezi kupambana na kakikundi hako
Zakuambiwa changanya na zako, mbona mwaka wa pili huu anahangaika na wana mgambo wa Hamas, mbona wiki ya pili hii anatandikwa na Muajemi mpaka anasidiwa na US, huo ujinga wa six days ambizaneni huko huko.
 
Uongo uongo kila siku. Ooooh mossad oooh IDF. Mliambiwa hawa Israel hawana nguvu mnayoihubili kila siku hapa jukwaani. Kitendo cha US kuishambulia Iran kinamaanisha wanaunganisha nguvu kupigana na Iran kwasababu wayahudi pekee ni weupe. Na bado kuna madhabiki wa mashoga wataendelea nyimbo za kuwasifu Israel
Kuwa na nguvu ni pamoja washirika wako na network yako.
 
Muiran wa Tandaimba umepaniki, tulieni mpelekewe moto

Huyo Iran kilichomtuma apige ubalozi wa marekani ni kipi, chokochoko kaanza mwenuewe acha anyooshwe
 
Sometime mnakuaga miyeyusho sana. Wewe unajua kabisa fulani baba yake ana nguvu ila unaenda kumess na mwanae huku ukitegemea baba yake akae kando asijihusishe na huo ugomvi.

Wazee huu kama sio uchizi ni kitu gani?!
 
Uongo uongo kila siku. Ooooh mossad oooh IDF. Mliambiwa hawa Israel hawana nguvu mnayoihubili kila siku hapa jukwaani. Kitendo cha US kuishambulia Iran kinamaanisha wanaunganisha nguvu kupigana na Iran kwasababu wayahudi pekee ni weupe. Na bado kuna madhabiki wa mashoga wataendelea nyimbo za kuwasifu Israel
Mhh! Ushirika wa kijeshi haumaanishi nguvu ndogo. Sema humu watu wengi ni wajinga sana .
Tanzania wakati wa vita na uganda tulisaudiwa na vikosi kutoka Msumbiji, haikuwa na maana kwamba tulikuwa hatuna uwezo.
Urusi anasaidiwa na iran, Korea kaska , Urusi hana uwezo?
Ndiyo isarael anaweza kuwa ana uwezo,lakini hana ya wezo wa kufikia vilivyo chini ya ardhi km 1.
 
Marekani ni wajinga,ameshindwa na Urusi,mkubwa mwenzake,enda mpiga mdogo,ni sawa na mtu mzima kupigana na mtoto,ni aibu.
Popote penye magaidi sisi wamarekani tunaingia kushusha kipigo, oparesheni teketeza magaidi Haina mwisho mpaka yote yateketee
 
Uongo uongo kila siku. Ooooh mossad oooh IDF. Mliambiwa hawa Israel hawana nguvu mnayoihubili kila siku hapa jukwaani. Kitendo cha US kuishambulia Iran kinamaanisha wanaunganisha nguvu kupigana na Iran kwasababu wayahudi pekee ni weupe. Na bado kuna madhabiki wa mashoga wataendelea nyimbo za kuwasifu Israel
Nikweli kabisa kaka lakini umeongea habari ambayo aijabalance ujazingatia upande wa Iran yeye anapewa saport na nani manaa aliopo nyuma ya Iran ni china Rusia na korea na yale makombola yasio onekana kwenye rada za Israel ni ya Rusia ambayo Iran kapewa msaada
 
Kwa taarifa yako marekani ni ka branch Cha izrael. Wataslamu karibia wote wa technolojia za vifaa vya kijeshi marekani ni wa WAIZRAEL. Ukiwaondoa waizrael marekani Hana jeshi
Muirani Toka bonyokwa unajiropokea TU[emoji1787][emoji1787]
 
six days war unaikumbuka? Israel pekee iliwasambaratisha waarabu wote mashariki ya kati mjuba. Israel pekee inaweza kuifanya iran kitu mbaya. Hao hamas kuwapiga inabidi uwapige kinamna ili usiue raia wengi. Sio kama israel haiwezi kupambana na kakikundi hako
Acha kuropoka wewe.
Six days war haikuwa confrontation ya jeshi kwa jeshi kama vita ya sasa.
Israel alimuwahi Egypt pale Sinai kwa kulipua millitary base zake Kesha akageuka Gollan heights akashambulia kwa ndege basi.
Hii ni confrontation ngumu sana aisee.
Pia usisahau mid east hakuna nchi ilopigana vita ya muda mrefu tena na mataifa makubwa kama Iran.
Ilipigana 1980-1988 na Iraq ikisaidiwa na huyo huyo USA na UK.
Ila ika sustain.
 
Ni mjinga pekee asiyejua nguvu ya Israel kijeshi, huyo marekani anamtegemea muisrael na muisrael anamtegemea mmarekani kiufupi wanategemeana,jana mmarekani ameingia kuimalizia kazi nzuri iliyoanzwa na mwisraeli miaka mingi iliyopita kuondoa viongozi waaandamizi wa serikali na jeshi sio kazi ambayo kila nchi inaweza kuifanya,kama Israel angekuwa fala angekuwa alishapotea muda mrefu sana kuwa na urafiki na marekani sio kigezo kwasababu hata marekani hashindi vita vyote isitoshe hata irani ana washirika wengi wenye nguvu mf.urusi na china.
 
Zakuambiwa changanya na zako, mbona mwa wa pili huu anahangaika na wana mgambo wa Hamas, mbona wiki ya pili hii anatandikwa na Muajemi mpaka anasidiwa na US, huo ujinga wa six days ambizaneni huko huko.
Leo pia Israel karandikwa vibaya sana na Iran
 
Kitendo cha Trump kurudi nyumbani chap baada ya vita kuanza kina maana kubwa! Kuna haja ya kujua nafasi ya Israel kwa Marekani kikatiba. Huwenda ni Waisrael wenyewe ndio wanashambulia Iran kutokea Marekani. Pia kuna haja ya kujua kama Marekani ina full control na jeshi lake bila mikono ya Israel!
 
Israel na marekani walikua na mpango wao wa kufanya walichofanya mapema sana Israel alisafisha njia marekani amemalizia mpango lakini sio kwamba marekani imeenda kuwasaidia Israel, Tulia uandike vizuri
 
Back
Top Bottom