Ulikuwa unapendelea kipigo kitoke kwa Israel pekee?Huoni kwamba ni vizuri USA kaweka na nyongeza ya kipigo?Uongo uongo kila siku. Ooooh mossad oooh IDF. Mliambiwa hawa Israel hawana nguvu mnayoihubili kila siku hapa jukwaani. Kitendo cha US kuishambulia Iran kinamaanisha wanaunganisha nguvu kupigana na Iran kwasababu wayahudi pekee ni weupe. Na bado kuna madhabiki wa mashoga wataendelea nyimbo za kuwasifu Israel
Russia si aingie msaidie Iran ?
US mjanja alimtuma Ukraine, hapo saiz anatafutwa mkorea au mchinaRussia si aingie msaidie Iran ?
Uongo uongo kila siku. Ooooh mossad oooh IDF. Mliambiwa hawa Israel hawana nguvu mnayoihubili kila siku hapa jukwaani. Kitendo cha US kuishambulia Iran kinamaanisha wanaunganisha nguvu kupigana na Iran kwasababu wayahudi pekee ni weupe. Na bado kuna madhabiki wa mashoga wataendelea nyimbo za kuwasifu Israel
Udikteta hauna nafasi kwenye Dunia ya leo. Wakimaliza Irani, Wananchi wa Irani watafurahi sana. Ndio maana US na Israeli haipigi maeneo ya Wananchi.US mjanja alimtuma Ukraine, hapo saiz anatafutwa mkorea au mchina
Marekani ni wajinga,ameshindwa na Urusi,mkubwa mwenzake,enda mpiga mdogo,ni sawa na mtu mzima kupigana na mtoto,ni aibu.Ulikuwa unapendelea kipigo kitoke kwa Israel pekee?Huoni kwamba ni vizuri USA kaweka na nyongeza ya kipigo?
Kipigo kwa Israeli hakijaisha bado, ataendelea kutandikwa maana ni wazi hana uwezo wa kijikinga na mibomu ya Waajemi.Ulikuwa unapendelea kipigo kitoke kwa Israel pekee?Huoni kwamba ni vizuri USA kaweka na nyongeza ya kipigo?
Marekani ni mjinga,hamuwezi IranUdikteta hauna nafasi kwenye Dunia ya leo. Wakimaliza Irani, Wananchi wa Irani watafurahi sana. Ndio maana US na Israeli haipigi maeneo ya Wananchi.
Israel ni chui kwenye karatasi na Trump ka proved kuwa ni stupid
Hata Gaza walianza hivyo,Udikteta hauna nafasi kwenye Dunia ya leo. Wakimaliza Irani, Wananchi wa Irani watafurahi sana. Ndio maana US na Israeli haipigi maeneo ya Wananchi.
Huu ndio ukweli,Taifa teule,linamtegemea Marekani limsaidie,wakati Iran iko peke yake.Kipigo kwa Israeli hakijaisha bado, ataendelea kutandikwa maana ni wazi hana uwezo wa kijikinga na mibomu ya Waajemi.
Majirani gani?Kwani Iran hana wapambe wanao msuport ? ,hakuna vita ya kupigana peke yako sasa hivi . We huoni hata majirani wa Irani wako upande upi
Tandika magaidi wa Israel.Magaidi wakubwa hao.Wamechapwa Asubuhi hii ,wanaficha vifo eti ni aibu...
Israel hamna kitu kila kitu anategemea kutoka kwa US.
View attachment 3378516