Kama Israel imeweza kushawishi mataifa makubwa Duniani kuwa upande wao naona wana akili kubwa sana

Wewe unaweweseka na utawala wa Ayatollah kuliko Wairan wenyewe una matatizo gani ?
Wairan hawana shaida na Israel
Utawala wa Ayatollah ndo umeaapa kuifuta Israel kwenye ramani
Kuna wairan wanatamani utawala wa Ayatollah uanguke hata leo
 
Ikatokea umekutana na mtu anakusikiliza na unataka msaada wake ongea naye katika mtindo wa mutual benefit.

Muonyeshe interests zake atazipataje.
 
wanazungumzia mataifa makubwa kuisaidia Isra , na sio watu weusi , jikite kwenye mada
Wewe ndio ujikite kwenye mada na upunguze mihemko rudia tena kusoma alicho andika.
 
Mtaongea mengi Iran kaweka history kwanza aliwajulisha kabla ya masaa 72 kuwa atapiga wapi US, UK, France na Jordan, Egypt, UAE, Saud Arabia wakawa nazingoja hizo drones na Missiles pale Jordan.

Hata Israel alituma ndege zake zikawa zinazingojea drones na Missiles kwenye ardhi ya Jorda na zingine ndani ya Israel na juu ya hayo yote Iran kapiga target zake 💯

Nyie bakini mnabweka tu hapa, Iran haiwezekani hata US analijua hilo.
 
China yupo mbioni kuchukua uongozi. So far wayahudi wangapi wanaitawala China ?
 
Waliowatengenezea Taifa hilo ndio wanawasaidia kwa malengo ya kupanua himaya,ushawishi na hata kuitawala Dunia kupitia hao kwa kuwa Historia ya uwepo wao hapo zamani ipo haijalishi Imani yao.
 
Naona umehama mada
Ukawa interested na Mungu wa Israel

Ok labda nikueleweshe
Kwa asili makabila yote Tanzania na pengine Africa yalikuwa na Miungu yao asili
Fuatilia historia utajua

Lakini pia hata wazungu kabla ya Injili ya kufika kwao kupitia kwa mtume Paulo walikuwa na Miungu yao pia
Kama ambavyo tunaona wahindi asilimia kubwa wanabudu

Vile vile hata wazee wa Wana wa Israel walikuwa na Miungu yao
Ambayo waliibudu
Maana kwa asili Waisrael Babu yao Ibrahimu alitokea uru ya wakaldayo
Ambayo ndo Iraq ya Sasa hivi na zamani pia iliitwa Babeli

Kwa hiyo Mungu Alianza kuijifunua kwa Ibrahimu miaka zaidi ya elfu sita iliyopita na baada ya Ibrahimu kumwamini kati mamillion ya watu waliokuwepo akawwka Agano kuitwa jina la Mungu wa Ibrahimu Isaka na Israel na uzao wote wa Ibrahimu
"Mungu wa Israel" Wewe asili yako ipi ? Hili swali linaweza kuwa gumu kwako tufanye hivi, Wewe kabila gani ?
 
Hiki ndicho nilicho kuuliza katika swali langu ? au umejibu tu chochote kilichopo kichwani mwako
 
Hii ni kwa mujibu wa matamanio yako.

Kwani Jamhuri ya kiislam ya Iran ilijiweka yenyewe ?
Ndio Ayatollah amejiweka mwenyewe kwenye hiyo nafasi ambayo haigombewi na MTU yeyote

Aite uchaguzi HURU na haki kwenye hiyo nafasi tuone
 
mkuu inaonekana kuna vitu vingi hujui,

amerika ya kaskazini yote, australia na hio israel kote huko hao ni walowezi wa kiingereza,.... pale amerika ya kaskazini wameua sana wenyeji ili wao wamiliki ardhi ile, kule australia pia wameua sana wenyeji, wale unaowaona ni walowezi wa kiingereza!

hao wanaoitwa Israel ni walowezi wa kiingereza, sema wanashindwa kusafiaha (kuua wenyeji wote kama walivyofanya amerika na australia) kwa sababu dunia kwa sasa ipo wazi, ingekua miaka ya 1600 huko wangesafisha ile ardhi......
 
Israel ni vibaraka wa Marekani. Wapo Middle East kuleta vurugu na ubabe ili Marekani aweze kutawala Middle East yote kwa ufasaha. Iran ndio kisiki kilichobakia ambacho wakifanikiwa kukilegeza basi watatawala vizuri na kuwaendesha kama walivyofanikiwa kututawala Africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…