4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
wanazungumzia mataifa makubwa kuisaidia Isra , na sio watu weusi , jikite kwenye madaNyie watu weusi hamna Mungu ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanazungumzia mataifa makubwa kuisaidia Isra , na sio watu weusi , jikite kwenye madaNyie watu weusi hamna Mungu ?
Wairan hawana shaida na IsraelWewe unaweweseka na utawala wa Ayatollah kuliko Wairan wenyewe una matatizo gani ?
"Mungu wa Israel" Wewe asili yako ipi ? Hili swali linaweza kuwa gumu kwako tufanye hivi, Wewe kabila gani ?Ndyo Mungu wa Israel Hana upendeleo Chamsingi umwamini na ufuate Neno lake
Wewe ndio ujikite kwenye mada na upunguze mihemko rudia tena kusoma alicho andika.wanazungumzia mataifa makubwa kuisaidia Isra , na sio watu weusi , jikite kwenye mada
China yupo mbioni kuchukua uongozi. So far wayahudi wangapi wanaitawala China ?Wayahudi ndio wanaotawala Dunia.Wayahudi hawapo Israel pekee wapo Urusi,Iran,Usa,Ulaya yote wakimiliki mifumo yote ya kiuchumi.
Ukitaka kuuelewa ukuu wa wayahudi na kivipi wanatawala Dunia.Sekta zote Dunia sio sinema Muzik Hollywood ni wao,ukitaka kuwajua zaidi soma kuhusu top 13 illuminated bloodline family,hizi ni familia 13 ndizo zinaimiliki hii dunia wote Hawa wanavinasaba vya uyahudi na ndio umiliki uchumi wa Dunia.
Hii ni kwa mujibu wa matamanio yako.Wairan hawana shaida na Israel
Utawala wa Ayatollah ndo umeaapa kuifuta Israel kwenye ramani
Kuna wairan wanatamani utawala wa Ayatollah uanguke hata leo
Waliowatengenezea Taifa hilo ndio wanawasaidia kwa malengo ya kupanua himaya,ushawishi na hata kuitawala Dunia kupitia hao kwa kuwa Historia ya uwepo wao hapo zamani ipo haijalishi Imani yao.Wakuu naona watu wengi wanalalamika Israel kusaidiwa na mataifa makubwa hivyo kwa upande wangu naona tofauti
Kwanza ndege wanaofana wanaruka pamoja
Kama tunavyoona nchi zenye race Fulani zinaweza kusaidiana
Au nchi zenye mrengo wa dini Fulani zikisaidiana
Pia matajiri kwa matajiri husaidiana na maskini kwa maskini mara nyingi husaidiana hivyo ni kwanini ya kiasili kabisa
Sasa swali nalojiuliza ni kitu gani common kinachofanya mataifa makubwa kusaidia Israel , hata wakati mwingine nchi zinaingia hasara kubwa ya Kodi ya wananchi wao bila kujali pia kujiweka kwenye hatari ya kivita
Pia Sina uhakika Kama Israel wako NATO ambayo ingewapa sababu ya moja kwa moja kusaidiwa
Kwa hivyo nimegundua Hili taifa Lina akili kubwa Sana kuingiza mataifa makubwa vitani kukaa upande wao
Lakini pia Kuna uwezekano mkubwa Hawa watu wamekamata maeneo nyeti kabisa ya hayo mataifa
Haiwezekani utetekeze Kodi za wananchi wako na kuweka usalama wao hatarini kwenye vita ambayo haikuhusu
MWISHO naanza kuamini Hawa mijamaa lazima Yule Mungu wao wa Israel tuliyesoma habari zake aliyewasaidia kwa miaka maelfu iliyopita
Yuko upande wao
Maana aliwahidi mataifa watamtumikia Israel kwa hiyo amewapa akili ya kukaa na mataifa makubwa
Ni maoni yangu karibu ya kwako
"Mungu wa Israel" Wewe asili yako ipi ? Hili swali linaweza kuwa gumu kwako tufanye hivi, Wewe kabila gani ?
China bado ana safari ndefuChina yupo mbioni kuchukua uongozi. So far wayahudi wangapi wanaitawala China ?
Israel hatumii nguvu wala akili nyingi, wanaomsapoti na kumlinda ni watu ambao wametaka israel awepo pale, waliomuweka ndio wanamlinda.
Hiki ndicho nilicho kuuliza katika swali langu ? au umejibu tu chochote kilichopo kichwani mwakoNaona umehama mada
Ukawa interested na Mungu wa Israel
Ok labda nikueleweshe
Kwa asili makabila yote Tanzania na pengine Africa yalikuwa na Miungu yao asili
Fuatilia historia utajua
Lakini pia hata wazungu kabla ya Injili ya kufika kwao kupitia kwa mtume Paulo walikuwa na Miungu yao pia
Kama ambavyo tunaona wahindi asilimia kubwa wanabudu
Vile vile hata wazee wa Wana wa Israel walikuwa na Miungu yao
Ambayo waliibudu
Maana kwa asili Waisrael Babu yao Ibrahimu alitokea uru ya wakaldayo
Ambayo ndo Iraq ya Sasa hivi na zamani pia iliitwa Babeli
Kwa hiyo Mungu Alianza kuijifunua kwa Ibrahimu miaka zaidi ya elfu sita iliyopita na baada ya Ibrahimu kumwamini kati mamillion ya watu waliokuwepo akawwka Agano kuitwa jina la Mungu wa Ibrahimu Isaka na Israel na uzao wote wa Ibrahimu
Uongozi ni pamoja na nini ?China bado ana safari ndefu
Uongozi sio Gdp pekee
INGAwa inawezekana kuchukua
Ndio Ayatollah amejiweka mwenyewe kwenye hiyo nafasi ambayo haigombewi na MTU yeyoteHii ni kwa mujibu wa matamanio yako.
Kwani Jamhuri ya kiislam ya Iran ilijiweka yenyewe ?
Unaelewa nini ukisikia au kusoma neno Ayatollah ?Ndio Ayatollah amejiweka mwenyewe kwenye hiyo nafasi ambayo haigombewi na MTU yeyote
Aite uchaguzi HURU na haki kwenye hiyo nafasi tuone
Wanaomlinda ndio wanajua umuhimu wakeUnamlindaje kitu ambacho Hakina thamani kwako