Kama Kanisa Katoliki hawatakemea huu Ujinga nitashangaa sana

Mama D unaongea na huyu bwabwa ,unamshauri lipi kama waziwake wameshindwa

USSR
 
Tumefundishwa kuvumiliana. Na hakuna kitu hatari kama kudharau imani,dini,kanisa ama dhehebu la mwingine. Ndo maana yapo tofauti ili kila mtu kwa imani yake achague pakwenda.
So ni bora tukabebeana madhaifu ya kiimani kuliko kuanza kuchokonoana.
Sijui huu utamaduni wa kusemana kiimani uneanza lini...Hakuna vita mbaya kama vya imanj, maana watu wanaondoka kwenye rationality wanabakia kupigana kiimani bila reasoning
 
Hz ni dharau kwa kanisa na waumini haiwezekan watu waende kusali alafu wanakamatwa
 
Eleze nini kilitokea na kwa nini mnakamatwa. Acha kujificha kwenye mgongo wa imani. Ukifanya kosa la jinai kanisani utakamatwa t u. Mbona hamjakamatwa kipindi cha nyuma. Kuna kitu unaficha.
 
malalamiko yataisha itakapopatikana KATIBA mpya

Wanaume huwa hawalalamiki kipara20
Wanaume huwa wanasimama na kutafuta suluhu ya kudumu

Sasa hawa wa chadema wamejawa lawama na excuses tuu suluhu hawana
 
Wanaume huwa hawalalamiki kipara20
Wanaume huwa wanasimama na kutafuta suluhu ya kudumu

Sasa hawa wa chadema wamejawa lawama na excuses tuu suluhu hawana

kwa akili kama za kina Sirro Suluhu haiwezikupatikana Mama D
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…