Kama kasi ya Mwamposa ikiendelea hivi, kuna hatari waislam wote jijini Dar wakabatizwa

Kama hilo nyomi la wamama wa kiislam na waume zao tunaliona kwenye TV yake ni la kweli, basi baada ya miaka 5 Dar itakuwa na wakristo tupu.
huyo mwamposa anaviziwa tu! hii ni mbinu ya wapinzani wake either serikali au wenzake walokole! wanamsogeza kwenye hasira za waislam! atapata majibu
SIJAKUELEWA MKUU,"UNAWEZA KUMPELEKA PUNDA MTONI LAKINI USIWEZE KUMLAZIMISHA ANYWE MAJI"HIYARI YASHINDA..............." KAMA WANAPONA BASI HILO SI BAYA.
 
Mtume Mohamedi hadi analiwa na nguruwe hakuwa amefanya muujiza wowote ...hata tu kubeti tu na kupatia, hakuna!!!
Kuwa na nidhamu na Imani za watu unavyuka mipaka

Unakosea nashauri futa hii
 
Sio mamluki wa kikristo sema mamluki wa Mwamposa ulishawaona wa Wakatoliki wakifanya huo ujinga?
 
Sasa unataka kumpangia maisha mbona kuna wakristo Wana slim kuwa waislamu unashangaa nin waislamu kubadilisha kuwa wakristo haya mambo ya Kuama upande yapo na yataendelea kuwepo
Hata konde boy kahamia dini ya demu wake, wanahama kwa kasi.
 
Kama hilo nyomi la wamama wa kiislam na waume zao tunaliona kwenye TV yake ni la kweli, basi baada ya miaka 5 Dar itakuwa na wakristo tupu.
Mwamposa habatizi wala hadeal na dini, kumpokea Yesu ni kwa dini zote.

Mwamposa ana ministry na siyo kanisa.

Kuna tofauti kati ya Ministry = huduma
Na Church = Kanisa.
 
Kuna vitu hamvijui ni bora kuuliza ili update elimu.

Mwamposa habatizi wala hasilimishi, unapokwenda kwake unafuata huduma yake na siyo dini.

Hata wakristo wa madhehebu mengine wakiwemo Wakatoliki wanakwenda kwenye huduma ya Mwamposa na bado wanabaki kwenye madhehebu yao, ila ukinogewa siyo dhambi wala hukatazwi kubaki kwenye huduma yake forever.
 
We kweli zuzu nna rafiki anaswali sana tu anafunga kila j3 na alhamis, ijumaa msikitini, jpili na mkesha kwa mwamposa na anamtangaza vibaya mno humwambii kitu kwa maji kashawanywesha na kuwapaka kwao sana tu bila wao kujua na maelekezo yote mpka maombi ya saa 8 kukomboa familia anafanya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acheni kupinga bila sababu
 
Jidanganye hvyo hvyo wenzio wanawahi na siti za mbele wawe karibu na upako[emoji23][emoji23]
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya Muislamu na muhumini wa dini ya kiislamu ..Waislamu wapo wengi sana tanzania ni watu waliozaliwa na majina ya kiislamu lakini awajui chochote kuhusu dini yao kuanzia nguzo mpaka sheria za kiislamu yani wapo kwenye uislamu kwasabu wamezaliwa wamejikuta ni waislamu ..muhumini wa dini ya kiislamu ni yule anayefuata mafunzo yote( Qurani na sunah) .. Wanaoenda kwa mwamposa ni waislamu na siyo wahumini wa dini ya kiislamu muhumini huwezi mkuta kwa mwamposa kwasabab kitendo cha yeye kukanyaga pale na kuhamini basi moja kwa moja atakuwa amefanya dhambi kubwa sana ya shirki .... Watu wanaona ni mada kubwa kwa icho kinachotokea kwa mwamposa ni vitu vya kawaida mbona wapo waislamu wanaabudu mizimu kila nwaka lazima wakatambike wapo waislamu ni waganga,wachawi etc.. mwenyezi mungu amemuumba binadamu akiwa na free will yani ukitaka kufanya dhambi wewe fanya .. ukitaka kuwa mwema ww.. fanya lakini mwisho wa siku utakuja kuulizwa kwa yale uliyoyatenda moja baada ya moja na wala utomdhuru kitu wala kupunguza uhungu wake mwenyezi mungu kwa yale unayoyatenda
 
Hivi kuna wabaguzi na waliojaa chuki kama waislam?

Nyie watu ni tatizo dunia nzima.
 
Ni jambo la kawaida sana ilo kwaiyo ndio mnataka kusemaje uyo rafiki yako ni muislamu siyo muhumini wa dini ya kiislamu..
 
huyo mwamposa anaviziwa tu! hii ni mbinu ya wapinzani wake either serikali au wenzake walokole! wanamsogeza kwenye hasira za waislam! atapata majibu

Kwani hukumsikia yule Sheikh akiwaambia wenzake wajitahidi kuhudumia waumini sababu wengi wao wamekuwa wakikimbilia kwa Bulldozer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…