Kama kasi ya Mwamposa ikiendelea hivi, kuna hatari waislam wote jijini Dar wakabatizwa

Kama kasi ya Mwamposa ikiendelea hivi, kuna hatari waislam wote jijini Dar wakabatizwa

Dini
Dini ni bangi hilo halina ubishi..

Sent using Jamii Forums mobile app
inaweza kuwa bangi kweli maana kuna dini fulani wenye kusokota nywele wanauheshimu sana mmea fulani ambao nauhifadhi nisiutaje! Ila WOKOVU wa Yesu Kristo ni wokovu haswa na hauchagui dini ya mtu ili mradi mtu mwenyewe akubali kumpokea YESU kama BWANA na MWOKOZI wa maisha yake! Atubu dhambi zake kwa maana ya kuamua kuachana nazo. Hapo Yesu Kristo humsamehe dhambi zake zote kisha kumzaa mara ya pili na kuwa kiumbe kipya kisichovutwa na kulazimishwa kutumikia dhambi kama mwanzo. Hapom mtu huyo mhuwa ameokoka!! Yawezekana kabla ya hapo alikuwa mkristo au mwislamu kwa maana ya dini au mpagani!! Dini bila Yesu haina tija yoyote!! Yaweza kabisa kuwa bangi tu (iwe ya kikristo, kiislamu au kipagani hakuna tofauti yoyote). Ujanja ni kuokoka!!
 
Unajaribu Kuweka mambo yasiyo ndani ya Koran na Hadith tena umefika mbali unasema Koran ilikuwa ya mda flani ,

Allah kasema ata baba Yako akiwa sio muislamu usiwe na urafi nae embu Anza na chuki hiyo, ielezee inatekelezwa vipi
Kwanza Usinilishe maneno sio kosa langu kama uelewa wako NI mdogo wapi niliposema quran ilikua ya muda Fulani,,nimekwambia Aya zilishuka kutokana na matukio tofauti tofauti,,kwa hiyo kama matukio kama hayo yatakurudia Kwa waislam the same rule applies,,,
Pili hakuna chuki hapo,,na inatekelezeka Kwa urahisi kabisa Kwa kila upande kutimiza majukumu yake kama kawaida au unajifanyisha hujaona wababa wanaotimiza majukumu Yao lakini hakuna urafiki Kati ya Baba na mtoto Bali upo uhusiano WA Baba na mtoto. Hata wewe hapo sio ajabu Baba yako sio rafiki yako.
 
Rekebisha ulipo sema Koran ilikuwa na aya za mda !
Sasa rudi baba Yako mzazi utatekeleza vipi kutokuwa na urafiki nae ?
 
Rekebisha ulipo sema Koran ilikuwa na aya za mda !
Sasa rudi baba Yako mzazi utatekeleza vipi kutokuwa na urafiki nae ?
Sirekebishi kama umeelewa tofauti NI juu yako,,,,pili Kwa vile umeamua kutoelewa jibu wewe utatekeleza vipi kumfanya Baba mzazi rafiki yako,,?
 
Sirekebishi kama umeelewa tofauti NI juu yako,,,,pili Kwa vile umeamua kutoelewa jibu wewe utatekeleza vipi kumfanya Baba mzazi rafiki yako,,?
Chuki za Allah ni hizi , je wewe utatekeleza vipi? Mpaka kwa baba Yako mzazi
Soma maneno ya chuki ya Allah anayo taka wewe utekeleze
Koran
5;51. Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki......
9;23. Enyi mlio amini! Msiwafanye baba zenu na ndugu zenu kuwa vipenzi vyenu ikiwa wanastahabu ukafiri kuliko Imani....
 
Kwa nini unapinga unabii wa Muhammad
Unabii
  • Uislamu ulianza kama dini ndogo na utarudi kuwa dini ndogo
    • Muhammad saying, “Islam began as a small religion and will return to the state in which it began. Then blessed will be the few Mishkat al-Masabih 159
  • Akaongeza Uislam utasinyaa na utarudi Madina kama vile nyoka anarudi kwenye shimo lake
    • “Faith will shrink back to Medina as a snake shrinks back to its hole.” (Bukhari and Muslim.) Mishkat al-Masabih 160
hiyo hadithi inasema uislamu ulianza ukiwa mgeni na utarudi ukiwa mgeni hivyohivyo kama ulivyoanza, kwa maana bado ni kitu cha kushangaza na kigeni na ugeni wake hauishi maana wanaoshikamana nao bado wanaonekana wa kipekee na wageni katika miji.

na hiyo hadithi ya iymaan kurudi madina lau ungejua maana yake.
 
Nakuamini!kwa hiyo Mwampo katoa connection?
Yah yakibabe bahat iliyoje kila mwezi lazima aje kupata upako sasahv hatokuwa anafikia hotel tena

NB;mim siyo muumini wa utapeli wa mwamposa lkn
 
Yah yakibabe bahat iliyoje kila mwezi lazima aje kupata upako sasahv hatokuwa anafikia hotel tena

NB;mim siyo muumini wa utapeli wa mwamposa lkn
Ha haaa mwamini tu huoni huo Ni muujiza?
 
Kwamba hao watu amewalazimisha kwenda kwenye ibada au? Masuala ya imani ni binafsi.

Msije kujifanya ni "untouchables" mtapata mnachokitaka, leteni tena fujo za kidini nchini kama awamu fulani fulani muone kama mtavumiliwa!

#Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿 #
Hakuna muislamu anayeenda kwenye ibada kwa Mwamposa, ukweli ni kwamba watu wanaenda kwa Mwamposa ni kama wanavyoenda kwa Mganga tu ndio maana muislamu ataenda huko ila bado akirudi nyumbani anaendelea na ibada zake za kiislamu. Kikubwa Mwamposa anatangaza miujiza na watu hufuata hiyo miujiza.
 
Kwa mganga siku zote unaenda kwa sababu ya shida tu na kutaka kuona unalolitaka linadanikiwa basi, na ndivyo ilivyo kwa Mwamposa ni kwamba watu wanafuata miujiza na sio kufuatilia chanzo cha nguvu ya hiyo miujiza.
 
Watu wanaelemewa na matatizo mengi; kwa hiyo wanatafuta sehemu ambapo watatua mizigo yao.

Ni sawa na kwa mganga kukuta foleni; kuliko kwenda huko kwenye foleni, bora aende kwenye digital (maombezi tu, matatizo yanakuwa yametatuliwa bila mwili kuathiriwa)
Tena kwa mganga unakuta ni gharama ndio maana mtu anaona bora aende kwa Mganga Mwamposa.
 
Back
Top Bottom