mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Dini
inaweza kuwa bangi kweli maana kuna dini fulani wenye kusokota nywele wanauheshimu sana mmea fulani ambao nauhifadhi nisiutaje! Ila WOKOVU wa Yesu Kristo ni wokovu haswa na hauchagui dini ya mtu ili mradi mtu mwenyewe akubali kumpokea YESU kama BWANA na MWOKOZI wa maisha yake! Atubu dhambi zake kwa maana ya kuamua kuachana nazo. Hapo Yesu Kristo humsamehe dhambi zake zote kisha kumzaa mara ya pili na kuwa kiumbe kipya kisichovutwa na kulazimishwa kutumikia dhambi kama mwanzo. Hapom mtu huyo mhuwa ameokoka!! Yawezekana kabla ya hapo alikuwa mkristo au mwislamu kwa maana ya dini au mpagani!! Dini bila Yesu haina tija yoyote!! Yaweza kabisa kuwa bangi tu (iwe ya kikristo, kiislamu au kipagani hakuna tofauti yoyote). Ujanja ni kuokoka!!