Kama Kazi ya Uenezi imemshinda Paul Christian Makonda nani ataiweza?

Wazungu wanasema the Bone that Failed the Heyna, who can?

Kazi ya Uenezi ndani ya ccm aliyeiweza kwa ufasaha alikuwa Abdulrahman Kinana miaka ya 2010.

Tangu hapo Chama cha Mapinzudi hakijawahi kupata mtu sahihi, hata walipojaribu kuteua watu wenye dosali ktk jamii bado napo imekuwa ngumu kufikia mafanikio wayatakayo.

Inaskitisha kuwa ndani ya miaka mitano tu tayari nafasi hiyo imeshikwa na Viongozi zaidi ya wa nne.

Hii maana yake ni nini? Kutapa tapa?

Alianza Hamphrey Polepole, Shaka Abdul Shaka na baadae Mjema kabla ya Paul Makonda.

Kama hawa wote hawakideliver Results je nani anaweza ktk mazingira ya namna hii.

Pole sana Ndugu Mwenezi Mpya, nakupa pole kwa sababu una kazi ngumu sana ya Kuperform zaidi ya Paul Makonda.

Kazi ambayo sioni kama utatoboa, Expectation za Chama chako ni kubwa kuliko uhalisia.

Changa vizuri karata zako lakini ujiandae kwa lolote.

Mfupa uliomshinda Fisi nani atauweza?
Kinana amewahi kuwa Mwenezi CCM?
 
kuna wakati ccm huwa sielewi mkuu, ila Paul mimi mwenyewe niliweka imani kubwa sana...inawezekana uongozini kuna makundi...watu (baadhi ya viongozi kichama)hawapendi kuona Paul anapewa sifa binafsi na wananchi na makundi mengine mbalimbali...wana wivu wanaamua kumfanyia figisu. Ila naamini Paul ana kibali mbele za Mungu na mbele za watu... ni ngumu sana kumshusha mtu huyu
Kibali cha kutishia kuwapoteza watu
 
.....afanyiwe figisu na nani....wakati yeye mwenyewe mwehu
 
kuna wakati ccm huwa sielewi mkuu, ila Paul mimi mwenyewe niliweka imani kubwa sana...inawezekana uongozini kuna makundi...watu (baadhi ya viongozi kichama)hawapendi kuona Paul anapewa sifa binafsi na wananchi na makundi mengine mbalimbali...wana wivu wanaamua kumfanyia figisu. Ila naamini Paul ana kibali mbele za Mungu na mbele za watu... ni ngumu sana kumshusha mtu huyu
Bashite ni muuaji, hicho kibali kakitoa wapi?
 
Daudi ni zero brain yule. Huwezi kuwafokea watu hovyo. Yule hastahili hata ukatibu tarafa.
 
Wazungu wanasema the Bone that Failed the Heyna, who can?

Kazi ya Uenezi ndani ya ccm aliyeiweza kwa ufasaha alikuwa Abdulrahman Kinana miaka ya 2010.

Tangu hapo Chama cha Mapinzudi hakijawahi kupata mtu sahihi, hata walipojaribu kuteua watu wenye dosali ktk jamii bado napo imekuwa ngumu kufikia mafanikio wayatakayo.

Inaskitisha kuwa ndani ya miaka mitano tu tayari nafasi hiyo imeshikwa na Viongozi zaidi ya wa nne.

Hii maana yake ni nini? Kutapa tapa?

Alianza Hamphrey Polepole, Shaka Abdul Shaka na baadae Mjema kabla ya Paul Makonda.

Kama hawa wote hawakideliver Results je nani anaweza ktk mazingira ya namna hii.

Pole sana Ndugu Mwenezi Mpya, nakupa pole kwa sababu una kazi ngumu sana ya Kuperform zaidi ya Paul Makonda.

Kazi ambayo sioni kama utatoboa, Expectation za Chama chako ni kubwa kuliko uhalisia.

Changa vizuri karata zako lakini ujiandae kwa lolote.

Mfupa uliomshinda Fisi nani atauweza?
Nilipoona uenezi eti aliuweza kinana nikaishia hapo kuusoma uongo wako.
Huyo makonda ninani kwako?
Mada nyingine hazistahili jukwaani
 
Ni mafaili tu yameingia virus hapo alikuwa atajwe Mh Nape Nauye
 
Back
Top Bottom