Kama Kazi ya Uenezi imemshinda Paul Christian Makonda nani ataiweza?

Ukiwapima kikazi kati ya makonda vs makalla, utagundua makalla ni mwepesi sana, makonda jitu la kazi wengine wote hamna kitu. Akishindwa paul siamini kama kuna mwengine ataiwezea hiyo shughuli

Makonda hawezi kufanikisha kitu chochote kinachohitaji akili na hekima
 
Kazi hiyo ni nyepesi sana!
Unachotakiwa kufanya ni kuwa mwangalifu usiwaharass wakubwa !!
Makonda alidhani bado yupo kwenye dahari ile !
Ndicho kilichomcost ambacho piga ua huyu wa sasa hawezi kukifanya kamwe !
🙏
 
Ccm hawana cha kueneza tena sana sana watawaonea hao viongozi wa Uenezei
 
Kazi hiyo ni nyepesi sana!
Unachotakiwa kufanya ni kuwa mwangalifu usiwaharass wakubwa !!
Makonda alidhani bado yupo kwenye dahari ile !
Ndicho kilichomcost ambacho piga ua huyu wa sasa hawezi kukifanya kamwe !
[emoji120]
Sasa usipowaharasi, Taifa litaendaje kwa kasi inayotakiwa?
Kazi ya Chama Cha siasa yapasa kuwa Ni kuwapa watu dhamana ya uongozi na kufuatilia utendaji wao!
Kimantiki, viongozi wote, hata Rais wanapaswa kudhughulikiwa na Chama!

Sikushangai Sana, akili za kiafrika ndo hizo!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ukiwaharas ujue umejiharas na kujinajis. Hakujua mipaka yake. Hakuna mamlaka yasiyona mipaka
 
Hivi 2010 Kinana alikuwa mwenezi wa ccm???

Nakumbuka kuwa Kinana alikuwa katibu mkuu na Nape ndiye alikuwa mwenezi
 
Vyovyote vile ni matumizi mabaya ya kodi za Watanzania.

Msafara kama ule wa Bashite hata PM Sunak wa Uingereza hana

Halafu linganisha hali za uchumi wa Tz na UK
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…