Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
Hata huelewi ninachozungumzia!Kila siku tunahubiriwa kuwa Mungu hashindwi chochote,sasa ilikuwaje akashindwa kuwazuia hao akina Adam kula tunda?kuwaambiwa msile tunda la kati ndo tayari kashawazua kwa kuwaeleza msifanye ivo sasa we ulitaka awazuie vp mkuu kwa kufanyaje labda
hatuko kwenye kusema dini hii n sahihi ama ile sio
maana ukifahama tafasiri ya dini uwezi tafuta hizo tofauti
iko ivi dini n imani .ni kile unachoamini
dini n mm na ww kwa pamoja kuwa na imani moja kwa kuabudu kile tunachoamini
so habari ya fulani dini ya kweli Hakuna ajuaye huwezi kuamini kwa asilimia mia moja kuwa dini ile sio na hii ndio
fuata yale yalioelekezwa kwenye vitabu vya mungu maana hazijatofautiana
Sasa Braza Unasema hutaki vitabu? How comes? Baada ya Kusoma au Kufundishwa kutoka kwa vitabu ndio itakuwia raisi kufahamu;Tumia Vitabu; Soma kila kitu baada ya Kusoma Fanya Maamuzi kulingana na Credibility ya Information uliyosoma; Huwezi kujua hich unachotaka kwa kusubiri Majibu ya Humu ambao wengi wetu ni wa Juzi tu; Kuna Vitabu toka enzi vime document mambo ambayo yatakupa maarifa;Nitafahamu vipi huyu mtu ni zao la Mungu wa Christianity na huyu ni zao la Mungu mwingine/wengine?
Umesahau kutuwekea ushahidi wa hiki ulichokiandika.Mungu wangu mimi ni tofauti na huyo, Mungu wangu ni mwingi wa upendo, Rehema na asie na hasira mdio maana hausiki na vifo
Sasa Braza Unasema hutaki vitabu? How comes? Baada ya Kusoma au Kufundishwa kutoka kwa vitabu ndio itakuwia raisi kufahamu;Tumia Vitabu; Soma kila kitu baada ya Kusoma Fanya Maamuzi kulingana na Credibility ya Information uliyosoma; Huwezi kujua hich unachotaka kwa kusubiri Majibu ya Humu ambao wengi wetu ni wa Juzi tu; Kuna Vitabu toka enzi vime document mambo ambayo yatakupa maarifa;
Sitaki nikushauri kwa Maneno yangu kama unavyotaka; Just read ili unapofanya decision uwe una uhakika;
NIlipofika Form four rasmi Kabisa nikaanza Personal Intiatives za kupata Hints kuhusu Credibility ya Dini Mbili kuu; Nilikutana na Mwanafalsafa akaniambia Tafuta watu unaowaheshimu then wakueleze;Sawa, naomba hint kidogo tu hao Mungu tofauti wanazo product tofauti? Ndiyo au Hapana!
Mkuu mimi swali langu ni hao Mungu tofauti wanazo product tofauti?NIlipofika Form four rasmi Kabisa nikaanza Personal Intiatives za kupata Hints kuhusu Credibility ya Dini Mbili kuu; Nilikutana na Mwanafalsafa akaniambia Tafuta watu unaowaheshimu then wakueleze;
Baada ya Maelezo ya watu hao; Nikiwa Chuo ughaibuni ndio nilifanya maamuzi kwamba Mimi binafsi nnibaki wapi baada ya Kujiridhisha na Kusoma , ndio nikaaccept kwamba this kind of God ndio nitamfatilia; Hichi unachotaka ndio kinawatesa watu wengi; wanataka waambie kwamba Mungu yupo ivi na hivi; lakini atashindwa kubeba Consequneces za machaguo yake.
Ndio maana Msisitizo wangu ni Mdogo tu Usisibiri kupata;
Ok Ukiambiwa kwamba, Mungu huyu ukifanya ivi anakasirika, Ukimtendea huyu ubaya Mungu analipa Ubaya; Na Mwigine unaambiwa Mungu ni Forgiver, God is Merciful, God is Love; In Him there is no Evil? Unachagua wapi hapo? (Haya maswali kama hujasoma au Kupata hint from reading two either sides, yanakuwa ni challenge) Ndio maana yangu ya kusema Soma.
Ndugu yangu Kiranga imani ni suala la mtu binafsi iwe irrational au kinyume chake. Hujawahi kutana na mtu anasema nahisi kesho sitaiona na mnamzika kweli? Watu na dini zao na imani zao.Hujaelewa point yangu.
Ninachokuuliza ni hiki.
Kila kitu unachoamini kitatokea ni lazima kitokee kweli?
Na kama si lazima, unatofautishaje imani rational kwamba jua litachomoza kesho na imani irrational kwamba kesho utapaa angani bila kutumia teknolojia yoyote?
Kulingana na Vitabu vya waamini husika; Product zao ni tofauti;Nipe hint! Ndiyo au Hapana.
Sasa kama imani ni jambo la mtu binafsi, kwa nini inajadiliwa hapa kwenye ukumbi wa wazi kwa jamii?Ndugu yangu Kiranga imani ni suala la mtu binafsi iwe irrational au kinyume chake. Hujawahi kutana na mtu anasema nahisi kesho sitaiona na mnamzika kweli? Watu na dini zao na imani zao.
Wew huna akili kumzidi Mungu alieumba. Angejua cha kufanya kama dunia ingejaaKUNA MTU ALIKUFA NDO MAANA UKAZALIWA WEWE.
imagine tangu Adam mpaka leo hii Kama kusingekuwa na kufa dunia ingekuwaje?
hiyo n business ila n wajibu wako kusoma sana ili ujue ukweli n upi na pumba n zipi hata vitabu vimesema usimwache elimu aende zake shida mwapenda vya kutafuniwa ndo maana mna meza na visivyo sahihi"fuata yale yalioelekezwa kwenye vitabu vya mungu maana hazijatofautiana”
Lakini hizo taasisi zinazoshughulika na 'Vitabu vya Mungu' kila moja inadai yenyewe ndio sahihi na upo utofauti!
Unazungumziaje hili?
Uchumi wa nchi unahusisha nchi nzima ila kila raia unamgusa kwa namna tofauti. Imani nayo ni hivyo hivyo, ni jambo linalohusu binadamu woote ila kila binadamu linamhusu kwa namna tofauti. Kutafuta ukweli katika imani kutoka kwa mtu ni kutafuta kuamini imani aliyonayo huyo mtu. Imani ikashakuwa na ukweli wa 100% kwa kila mtu si imani tena ni fact.Sasa kama imani ni jambo la mtu binafsi, kwa nini inajadiliwa hapa kwenye ukumbi wa wazi kwa jamii?
Mimi najadili zaidi ya imani. Najadili jinsi ya kupata ukweli.
Ila wewe Kiranga dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unajuaje Mungu na Roho Mtakatifu wapo kweli na si hadithi za watu tu?
Hujajibu swali hili.
Ukweli kwamba mimi nimefundishwa na mwalimu hauthibitishi Mungu yupo.
Unathibitisha nimefundishwa na mwalimu.
Unacheka nini sasa?Ila wewe Kiranga dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hiyo unakataa uwepo wa Mungu?Unajuaje Mungu na Roho Mtakatifu wapo kweli na si hadithi za watu tu?
Hujajibu swali hili.
Ukweli kwamba mimi nimefundishwa na mwalimu hauthibitishi Mungu yupo.
Unathibitisha nimefundishwa na mwalimu.
Mungu ni nini?Kwa hiyo unakataa uwepo wa Mungu?
Wew huna akili kumzidi Mungu alieumba. Angejua cha kufanya kama dunia ingejaa
[emoji3][emoji3][emoji3]Kifo siyo kibaya mara zote. Imagine watu kama kina Hitler, Idd Amin, Magufuli, Mobutu wangekuwa wanaishi milele.
Duniani pangegeuka Jehannum
Nimecheka kwa sababu kuna muda comments zako huwa zinanichekesha.Unacheka nini sasa?
Maswali yangu umeyaelewa?