Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,451
- 2,466
- Thread starter
-
- #261
Ww ukipigwa shot ya umeme utailaumu TANESCO wakati unaona kabisa ni hatari?Na chanzo cha dhambi si mungu mwenyewe au nalo linahitaji mjadala?
We unaweza kupinga kua chanzo cha dhambi sio mungu?
Na mimi naongelea kwa muktadha wake sio mimiHiyo hatma anaijua yeye.
Tanesco inaujuzi wote wa kutengeneza umeme bila shot?Ww ukipigwa shot ya umeme utailaumu TANESCO wakati unaona kabisa ni hatari?
Nishatoa juu hapoNani anajua kuna mungu?
Mimi najua kuna vitabu vimeandika kua kuna mungu hata wewe hujui
Kama unajua thibitisha mungu yupo
Jibu gani?Nishatoa juu hapo
Ndio mana kamleta mwana wake Yesu kwa ajili ya kufix tatizo la mwanzoKwa hiyo mungu hakujua kwamba shetani atahasi?
Na hakua na alternative ya kufix baada ya shaetani kuja kuhasi?
Ndio naamini vile vyenye kusadikika kabisaHapana, we unaamini quran na vitabu vingine vya imani tofauti na yako kwamba vimesema ukweli?
Ndio maana nikakwambia kuwa suala la kujua hatma ni la kwake yeye sisi hatujui,sasa hilo la hiyo mitihani ndio la kwetu sisi tusiojua hiyo hatima.Na mimi naongelea kwa muktadha wake sio mimi
Kama alijua kwanini aweke mitihani kwa lengo la kuwapima?
Kwa maana hiyo hakuna wa kwenda motoni kwasababu yesu alikuja ku fix?Ndio mana kamleta mwana wake Yesu kwa ajili ya kufix tatizo la mwanzo
Jibu gani?
Umethibitisha mungu yupo?
Weka post namba nilione
Mungu ni uwezo,cheo,ujuzi flani wa kipekee au mkubwa sana.
Uthibitisho wa uwepo wa Mungu ni kupitia uimbaji wake tu. Yan hata kama huamini biblia na vitabu vingine maelezo yake,basi ukiangalia uumbaji wote,kwanzia mpangilio wa sayari zote kama jua, mwezi, nyota utashangaa. Hakuna mwanadamu anayeweza kupangilia hivyo.
Angalia dunia yetu ilivyopangwa vizuri bila kuingiliana kama bahari,maziwa,mito nchi kavu,milima na viumbe hai wote.
Ni mwanadamu gani amefanyiza huo mpango? Au amewahi kujaribu akaweza? Bila shaka kutakuwa na mkuu zaidi ya kila kitu ndio huyo mweza yote yaani Yehova Mungu.
Kama vipi hivyo?Ndio naamini vile vyenye kusadikika kabisa
Kama utamwamini na kumfuata huo moto utakuhusuje sasa?Kwa maana hiyo hakuna wa kwenda motoni kwasababu yesu alikuja ku fix?
Vitabu vyote vinavyotegemeka,sio vya kusadikika tuKama vipi hivyo?
vitaje
Hata kama haujui yeye kaonaje, lakini ukishajua kua anajua yote haikuzuii kuhoji kuhusu mambo ambayo yeye alishayaonaNdio maana nikakwambia kuwa suala la kujua hatma ni la kwake yeye sisi hatujui,sasa hilo la hiyo mitihani ndio la kwetu sisi tusiojua hiyo hatima.
Mitihani gani tena jamani?🤔Ndio maana nikakwambia kuwa suala la kujua hatma ni la kwake yeye sisi hatujui,sasa hilo la hiyo mitihani ndio la kwetu sisi tusiojua hiyo hatima.
Kwa maana hiyo mungu hajaweza ku fix ichote maana bado kuna watu wataenda motoni so na ujio wa yesu is equal to nothing.Kama utamwamini na kumfuata huo moto utakuhusuje sasa?
Unajuaje kama ni vitabu vya kweli?Vitabu vyote vinavyotegemeka,sio vya kusadikika tu
Kwa hiyo unapingana na biblia?Scars kwanza kaa ukijua hakuna moto wa milele, Mungu hachomi watu kwenye moto wa mateso. Hilo ni fundisho la kuogopesha watu tu lakini Mungu hata umwabudu kwa kumwogopa bali anataka umwabudu kwa kupenda