zaburi 10: 4 Kwa sababu ya kiburi chake, mwovu hafanyi uchunguzi wowote; Mawazo yake yote ni: “Hakuna Mungu.”Hujathibitisha Mungu yupo.
Umehubiri Biblia.
Sijaomba mahubiri. Kwetu kanisani nimeyasikia mahubiri tangu tumboni mwa mama yangu.
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Umeelewa swali?Aliumba ikiwa hivyo ( Edeni ). Hayo mambo mabaya ni matokeo pia.
Mimi kukuomba wewe uthibitishe uwepo wa Mungu tayari ni mwanzo wa uchunguzi.zaburi 10: 4 Kwa sababu ya kiburi chake, mwovu hafanyi uchunguzi wowote; Mawazo yake yote ni: “Hakuna Mungu.”
Kwani kudai uthibitisho ni kitu kibaya?Wewe jamaa kila kitu unakimbilia kudai uthibitisho.
Hatujamalizana kwenye hili kwanza.Hayo ya lazima unayazungumza wewe mie nimekuuliza swali hadi sasa hujibu unazunguka zunguka tu na kuniuliza maswali.
hapo nimekuelewa....ni kweli ulosema dini nyingi zimeshiriki katika kuendeleza maovu, vita, ufisadi, maadili mabovu na wakati huo huo eti kufundisha Mungu ni unafiki mkubwa sana ..Mimi kukuomba wewe uthibitishe uwepo wa Mungu tayari ni mwanzo wa uchunguzi.
Wewe kushindwa kuthibitisha Mungu yupo na kuleta mahubiri tu ni ushahidi mwingine kwamba Mungu hayupo.
Hujathibitisha Mungu yupo.
Mimi sipingi uwepo wa Mungu kwa sababubm ya uovu.
Napinga imani ya uwepo wa Mungu kwa sababu inachochea uovu.
Uovu wa vita za kidini, uovu wa ubaguzi wa kidini, uovu wa imani potofu za kijinga kwamba Mungu atamaliza matatizo ya wakuwa hizo dini zinafundishwa ukweli kuhusu Mungu?
Hujathibitisha Mungu yupo.hapo nimekuelewa....ni kweli ulosema dini nyingi zimeshiriki katika kuendeleza maovu, vita, ufisadi, maadili mabovu na wakati huo huo eti kufundisha Mungu ni unafiki mkubwa sana ..
lakini bado bado nakuhakikishia ukweli bado upo ukifanya utafiti utagundua kitu
mkuu inaonekana unapenda ligi sana na mimi siko kwenye ligi...Hujathibitisha Mungu yupo.
by the way iyo kazi ya kudhibitisha sio mzigo wangu ni wako pambana naoHujathibitisha Mungu yupo.
Wewe unayesema mambo bila uthibitisho ndiye unayependa ligi.mkuu inaonekana unapenda ligi sana na mimi siko kwenye ligi...
rejea reply yako ya huko juu.
Wewe hata hujui tofauti ya kudhibitisha na kuthibitisha.by the way iyo kazi ya kudhibitisha sio mzigo wangu ni wako pambana nao
zaburi 10: 4 Kwa sababu ya kiburi chake, mwovu hafanyi uchunguzi wowote; Mawazo yake yote ni: “Hakuna Mungu.”Wewe hata hujui tofauti ya kudhibitisha na kuthibitisha.
Jifunze Kiswahili kwanza.
Kisha, thibitisha Mungu yupo.
Kushindwa kuthibitisha Mungu yupo kunaonesha ushahidi hayupo na hujui unachokitetea.
Mimi kukuomba wewe uthibitishe uwepo wa Mungu tayari ni mwanzo wa uchunguzi.zaburi 10: 4 Kwa sababu ya kiburi chake, mwovu hafanyi uchunguzi wowote; Mawazo yake yote ni: “Hakuna Mungu.”
soma mstari ukiwa umetuliza kichwa kisha niambie ni nani anapaswa kudhibitisha...ni yupi anasema kuna Mungu ana anayesema hakuna Mungu...
Usibebeshe watu mizigo yako brother
ngoja nimsaidie kakata pumzi.Wewe hata hujui tofauti ya kudhibitisha na kuthibitisha.
Jifunze Kiswahili kwanza.
Kisha, thibitisha Mungu yupo.
Kushindwa kuthibitisha Mungu yupo kunaonesha ushahidi hayupo na hujui unachokitetea.
Namuuliza mtu.Dah mmeliazisha watu malizanenu na kiranga msije kumkimbia ndo nyuzi zake za point izi.
kuthibitishiwa ni uvivu...hakuna mtu ataweza kukutoshelezea usipofanya jukumu lako hilo ni sawa kuambia mtu aende haja kwa niaba yako..HAIWEZEKANI KABISA..Inahitaji ujithibitishie mwenyewe hakuna mtu atafanya kwa niaba yako...Mimi kukuomba wewe uthibitishe uwepo wa Mungu tayari ni mwanzo wa uchunguzi.
Wewe kushindwa kuthibitisha Mungu yupo na kuleta mahubiri tu ni ushahidi mwingine kwamba Mungu hayupo.
Hujathibitisha Mungu yupo.
Thibitisha Mungu yupo.
Ume assume ni Mungu.ngoja nimsaidie kakata pumzi.
uthibitisho; uwepo wa viumbe vyote,kwa kuwa hakuna kitu ama kiumbe ambacho kilijitengeneza chenyewe,tuna uhakika kila kinachoonekana kimeumbika kwa muonekano tofauti,Kuna wadudu ,miti na nk.yupo aliye vitengeneza kwa mionekano hiyo ,naye Ni Mungu.
Umeshindwa kuthibitisha.kuthibitishiwa ni uvivu...hakuna mtu ataweza kukutoshelezea usipofanya jukumu lako hilo ni sawa kuambia mtu aende haja kwa niaba yako..HAIWEZEKANI KABISA..Inahitaji ujidhibitishie mwenyewe hakuna mtu atafanya kwa niaba yako...
pambana na hali yako...Umeshindwa kuthibitisha.
Kwa sababu huyo Mungu hayupo.
Ndiyo maana hathibitishiki.
Wewe ni sawa na mtu anayesema kuna pembetatu ambayo pia wakati huohuo ni duara katika Euclidean geometry.
Nakuambia uthibitishe, unashindwa, kwa sababu haipo.
Halafu, unanilaumu mimi, ambaye sijasema kwamba pembetatu duara ipo, kwamba ni mvivu, nikitaka kujua ipo nithibitishe mwenyewe.
Ushuzi unajamba wewe, lawama unanipa mimi!