Nimekujibu. Maelezo yangu yamejikita kwenye tofauti ya faith na critical thinking na maswali niliyokuuliza yanatilia mkazo. Ukijibu hayo maswali utapata majibu yako.
ume-skip swali langu now umeingia kwenye fallacy ya Straw Man Argument
Swali langu ni hili
unakuaje na hakika katika vitu unavyotumainia?
unakuaje na hakika na vitu ambavyo hujavifikiri?
Mimi nakuuliza baba yako alishindwa kujenga nyumba ambayo haiwezi kupata ufa?Nimekwambia kifo hakihusiani na aina ya ulimwengu,sasa sijui unakwama wapi kung'ang'ania kuhusisha ulimwengu na kifo.
Mungu wako alishindwa kuumba ulimwengu ambao kifo hakiwezekani kuwepo wala kufikirika?MUNGU si wakala wa Vifo Kifo ni matokeo ya uchaguzi kama vile Uzima ulivyo ni Matokeo ya Uchaguzi.Matokeo ya Uchaguzi kwa nani?Kifo ni matokeo ya Uchaguzi wa Uasi kwa Kile alichosema Mungu.Uzima ni Matokeo ya Utii wa Kile alichoagiza Mungu.Shetani ndiye Muasisi wa Kifo kama matokeo ya uongo aliowalisha wazazi wa kwanza Adam na Hawa Katika Bustani ya Eden Sura ya kwanza na ya pili ya Kitabu Cha Mwanzo inaeleza Asili na Chimbuko la kifo cha wote wenye mwili.Ukipata muda soma hizo sura.Kifo ni matokeo Ya uasi wa sheria na maagizo ya mwenyezi Mungu.Mungu hajakusudia kuona watu wakifa na anazo nguvu juu ya Mauti na Kaburi Na hivyo ameahidi urejeshwaji wa Uzima wa mwili na Maisha ya milele kwa wote wale Watakaokubali na kumwamini Yeye Aliyetumwa na Yeye basi japo atakufa lakini siku ya Kiyama atamfufua na kumvisha mwili usioharibika na Asione kifo tena.
Hili linahusiana vipi na kuwapo Mungu?Tumboni uliishije sasa!
Hivi Mungu angetaka dikteta kiasi hicho unafikiri leo hii ungekuepo?...yeye hakutaka kumpangia mtu maamuzi yake aliwaachia wawe huru kuamua jema lipi na baya lipi. Ila badae atakapofanya maamuzi ya kuondoa waovu msije sema ooh mi sikujua...ooh mi sikuambiwa
huo ushahidi alikupa nani?Sio kusikiliza tu nimeshaona na kupata ushahidi kuwa shetani hafai kabisa ni muovu
Kisichopo unakithibitishaje kwamba hakipo outside of abstract logic?Thibitisha kwamba hayupo.
Sa si bora hata angekua anamaamuzi ya haraka ambayo yangefanyika kwa weledi bila errors kuliko ukurupukaji ambao hata yeye kuna muda unafika anajilaumu na kujutiaMungu angekuwa na maamuzi ya haraka bila huruma hata ww unavokufuru hapa angeshakutoa tayari, lakini anakuacha akijua ipo siku utarudiwa na fahamu na kutubu
kwenye uhuru wa kweli hakuna neno "isipokua"Mtu mbaya haexist katika dunia ya Mungu huondolewa mara moja achana na dunia hii gombania goli ya shetani..ko unauhuru wa kufanya unachotaka ndiyo ila mahali ndo utakosa maan kwa Mungu hakuna ubaya.
we unaweza kuthibitisha kwamba hakuna uthibitisho nilioweka humu kuonesha Mungu hayupo?Thibitisha kwamba hayupo.
Unakataa kuwa Mungu sio dikteta. Je unao uthibitisho ama ushahidi wa kuwa Mungu alikupa nafasi ya kuchagua kati ya kukuleta duniani ama kutokuuleta duniani (kuumbwa ama kutokuumbwa?Hivi Mungu angetaka dikteta kiasi hicho unafikiri leo hii ungekuepo?...yeye hakutaka kumpangia mtu maamuzi yake aliwaachia wawe huru kuamua jema lipi na baya lipi. Ila badae atakapofanya maamuzi ya kuondoa waovu msije sema ooh mi sikujua...ooh mi sikuambiwa
kwa hiyo ephesians ni mafundisho ya kitaa?Mungu hakupangii braza usikariri mafundisho ya kitaa Mungu anapanga kila ki2..Ubaya ni wewe unaechagua ila yeye anakujua kuwa umechagua ubaya na anakupa nafasi ujione ulivoamua kuchagua mabaya ili ukipata adhabu usilaumu..hakuna mtu anapelekwa kwenye dhambi na Mungu. Leo hii mtu unaishi sio jambazi hauui watu. Je, jambazi anapaswa kulalamika kuwa kaonewa kupelekwa kwenye ujambazi? Mungu angekuwa anamfundisha m2 ubaya kusingekuwa na haja ya kuleta maandiko matakatifu. Kitu unachotakiwa kujua ni kuwa dunia inaexist sio Mungu aprove point kwako wewe nd prove point kwake..Ndo maan bible inasema mtu mbaya anapewa mafanikio sometimes aendelee na ubaya wake...hyo statement inatuonesh nn? kwamba binadam anachagua ubaya na Mungu anaeza muachia mazingira ya ubaya wake.
kwa maana hiyo mungu hawezi ku manage uhuru bila mipaka?Mungu sio wa uhuru tu pia ni wa haki ukimtenda ndugu yako jambo baya. Je, wafanya haki?
unaweza kunionesha wapi nimesema nataka shetani asiwepo?Ambacho hujaelewa hapo ni kipi? Uliezaje kumsikiliza shetani kuliko mtu anaekulisha na kukuvisha unadhani una tofauti nae Mpaka unataka asingeumbwa ila wewe na ukaidi wako ndo ungeumbwa..Kma unataka shetani muhasi asiwepo nawewe usingekuwepo vile vile. Mnachotofautiana wewe na shetani ni Muda wa neema ya Mungu 2. yeye yakwake ilishaisha.. Ndo maan mtu atakaefanya dhambi mpaka siku ya mwisho atachomwa pamoja nae. N.B naposema wewe simaanishi wewe kama wewe kuwa nakuhukumu nakuterm wewe kama binadamu kama nilivo mimi ili upate picha halisi tu.
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote hayupo.Thibitisha kwamba hayupo.
kwa hiyo mimi nikiua mtu mwenye hatia sio dhambi?Are you sure hawakuwa na hatia? Mungu nnae mwamini ni Mungu wa haki hivo hawezi ua mtu asie na hatia hata siku moja. Au we unadhan aliposem watoto wa farao alimaanisha watoto wachanga? Farao alikuwa mtu mzima maan yeye ndo aliemlea Mussa..Mbona kuna watoto wa watumish wengine wengi 2 walilaaniwa kwasbabu ayubu alikuwa mtu wa Mungu ko wote ndugu zake walikuwa watu wa Mungu. Lakini hayo yote yalikuja kutoweka baada ya haki ya kweli kuja kuishi duniani nae ni YESU kristo maan alitufia kwa dhambi zetu sahivi hakuna kifo cha dhambi cha duniani anacholeta Mungu ila kifo kitakuwa mbinguni.
kwamba mtu asiyebishana ni yule anayekubali kila kitu?Ok pole Mkuu nilikuwa sijaelewa Mentality yako wakati nakujibu hapo juu; Nia yangu si kubishana, nilikuwa nakujibu kitu ambacho ulisema Mungu anaua; Ndio nikakwambia Kwamba usomaji Mbaya ndio unapelekea shida za Kum-attribute Mungu; Sasa naona kama wewe unataka Kubishana; Niwie radhi kama nimekukwaza.
Lakini tu kitu ninachokwambia ni kwamba, Bible iliandikwa na watu, na Ukisoma Bible in Comprenhensive way hutaona Mikanganyo ya Tabia za Mungu.
hapana hujajibuNimekujibu. Maelezo yangu yamejikita kwenye tofauti ya faith na critical thinking na maswali niliyokuuliza yanatilia mkazo. Ukijibu hayo maswali utapata majibu yako.
Imani haina uthibitisho. Unaweza kuamini na isiwe kama ulivyoamini. Ukishakithibitisha, ukakihakiki na ukawa na ushahidi sio imani tena ni uhalisia.hapana hujajibu
ulipotoa maana ya imani ulisema imani ni kuwa na hakika na vitu uvitumainiavyo
mpaka hapo tayari ni contradiction, kwamba ukiwa na uhakika maana uko katika hitimisho ambalo lishakua verified na linathibitishika.
Na vitu vitumainiwavyo ni vitu ambavyo havithibitishiki wala kuhakikiwa, ni vitu ambavyo vinategemewa/vinatarajiwa/kufanyika/kutokea katika siku za mbele, kwa maana hiyo kuna uwezekano mkubwa vitu hivi vikaenda vice versa na ulivyotarajia
sasa uliposema kua na imani ni kuwa na hakika na vitu uvitumainiavyo umeniacha njia panda, inawezekana vipi ukawa na hakika katika kitu ambacho hujakithibitisha wala kukihakiki wala huna ushahidi nacho?
Sasa unakuaje na uhakika katika vitu ambavyo hujavithibitisha?Imani haina uthibitisho. Unaweza kuamini na isiwe kama ulivyoamini. Ukishakithibitisha, ukakihakiki na ukawa na ushahidi sio imani tena ni uhalisia.