kwa hiyo hapo nilikua nimejibu swali lako?Ulinijibu hapo
hapa ulikua unamaanisha nini kua nikujibu swali kama kweli swali lako lilikua tayari limejibiwa?Nijibu kwanza swali langu kabla hujaniuliza maswali mengine.
nithibitishie oxygen ipo'oxygen inathibitishika au haithibitishiki kama ipo?
hujajibu swali, soma vizuri elewa kilichoulizwa kabla hujakurupuka
Mungu wako hahusiki na kifo na hawezi kumzuia anayehusika na kifo kisikufike...Sijakataa uwepo wa kifo
Ulikuwa umejibu halafu ukawa unauliza tena imani ni nini wakati mwanzo ushajibu.kwa hiyo hapo nilikua nimejibu swali lako?
hapa ulikua unamaanisha nini kua nikujibu swali kama kweli swali lako lilikua tayari limejibiwa?
mkuu hutubishani na wala sikufundishi bali tunatafuta ukweli.Bado huja qualify kunifundisha kusoma biblia
swala la Mungu kumuagiza abraham ni swala lingine linalojitegemea binafsi kwahiyo swala la hizo nukuu za malaika kuzihusisha na mungu kwakua mungu alimpa maagizo abraham huo ni UZUSHI
wewe umepotosha kua hizo nukuu ni za mungu wakati biblia imeweka wazi kua hayo ni maneno ya malaika. Hata ukisoma sura nzima utaona mara ya mwisho abraham kuwasiliana na mungu ni mwanzo 22:1-2 baada ya hapo conversation iliyofata ilikua ni abraham na malaika mungu hajahusika tena
i know you know i'm telling the truth but you just can't admit it
sasa kama hatubishani bali tunatafuta ukweli mbona unarukia kwenye aya nyingine wakati hoja yako ya mwanzo haijulikani ukweli ni upi?mkuu hutubishani na wala sikufundishi bali tunatafuta ukweli.
Bado hujanielewa ingawa andiko Hilo umelikataa na kupindishwa ukweli wake lakini bado maandiko mengi tu yatapinga hoja yako...
Mfano mzuri ni Mwanzo 1:31 Baada ya hayo Mungu akaona kila kitu alichoumba, na tazama! kilikuwa chema sana. Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya sita.
Kazia hapo nilipotia bold.
Sasa Soma na Mwanzo 6: 5 Basi, Yehova akaona kwamba uovu wa mwanadamu ulikuwa mkubwa duniani na kwamba kila mwelekeo wa mawazo ya moyo wake ulikuwa mbaya tu wakati wote. 6 Yehova akaghairi kwamba aliwaumba wanadamu duniani, na moyo wake ukahuzunika.
nakuuliza swali lilelile Mungu alijua mwelekeo wa Mwanadamu baada ya kuumba tu au baadaye alipomtazama....
sasa kama nilikua nimejibu kwanini utake jibu tena kwa kusema nikujibu kwanza?Ulikuwa umejibu halafu ukawa unauliza tena imani ni nini wakati mwanzo ushajibu.
Wewe si umekataa mstari ule kusema ni maneno ya malaika nikaona poa sababu mimi Nina mistari mingine mingi mbali na kisa cha Isaka kwamba alijua kile Abraham atafanya mapema..sasa kubali sababu au unipinge kwa hoja ....sasa kama hatubishani bali tunatafuta ukweli mbona unarukia kwenye aya nyingine wakati hoja yako ya mwanzo haijulikani ukweli ni upi?
tutafika kwa mtindo huu wa kuacha hoja njiani bila kuafikiana kama ni kweli au la na kurukia nyingine?
sasa kabla hatujafika huku nataka tukubaliane kwenye hoja iliyopita yale maneno yalikua ya mungu au malaika?
Umekoswakoswaje na ban!?Duniani pangegeuka Jehannum
Na wewe kwanini uniulize maana ya imani na umesema hukuelewa swali Ili hali umeshalijibu?sasa kama nilikua nimejibu kwanini utake jibu tena kwa kusema nikujibu kwanza?
sio nimekataa. Bali nimekataa kuukubali uwongo kwa kuitetea fact ambayo yeyote mwenye uwezo wa kujua kusoma akipewa hiyo aya ataweza kuelewa ni nani aliyesema yale manenoWewe si umekataa mstari ule kusema ni maneno ya malaika nikaona poa sababu mimi Nina mistari mingine mingi mbali na kisa cha Isaka kwamba alijua kile Abraham atafanya mapema..sasa kubali sababu au unipinge kwa hoja ....
........
Jibu Hilo swali.
Mungu alijua mwelekeo wa Mwanadamu baada ya kuumba tu au baadaye...?
kuhusu hiyo hoja wala sijakurupuka ninajua ninachokisimamia na jinsi Mungu aliwasilisha maneno yake kwa mwanadamu , katika visa vingi malaika wanatumika kama redio ya Mungu mtu akisikia redio hawezi kufikiria redio ndio inasema hivyo bali mtangazaji anasema kupitia redio hilo liko wazi...sio nimekataa. Bali nimekataa kuukubali uwongo kwa kuitetea fact ambayo yeyote mwenye uwezo wa kujua kusoma akipewa hiyo aya ataweza kuelewa ni nani aliyesema yale maneno
Sasa nacho kiona hapa wewe hutaki kukubali kuwa pale ulikurupuka tu hukumakinika eidha kwasababu hukusoma verse yote hivyo unataka tuache kuzungumzia jambo hilo kiaina tu kwa kuingizia mada zingine katikati kwa lengo la kunitoa kwenye reli
mwanzo 22:11 Lakini malaika wa Mwenyezi-Mungu akamwita kutoka mbinguni, “Abrahamu! Abrahamu!” Naye akaitika, “Naam, nasikiliza!” 12Malaika akamwambia, “Usimdhuru mtoto wala usimfanye lolote! Sasa ninajua kwamba unamcha Mungu, kwani hukuninyima hata mwanao wa pekee.
kwa aya hiyo kama kweli yalikua ni maneno ya Mungu ilikuwaje Mungu amwambie abraham kwamba sasa najua unamcha Mungu wakati yeye ndiye Mungu?
mwanzo 22:15 Malaika wa Mwenyezi-Mungu akamwita Abrahamu mara ya pili kutoka mbinguni, 16 akamwambia, “Mwenyezi-Mungu asema hivi: Nimeapa kwa nafsi yangu kwamba kwa kuwa umefanya hivi, wala hukuninyima mwanao wa pekee
Hapo malaika ananukuliwa kwamba anamuita abraham kwa mara ya pili maana yake hapo awali malaika alimuita abraham, sasa unaweza ukasema hapo mara ya kwanza malaika alipomuita malaika alimuambia nini abraham?
kwasababu jibu nililokupa ulionesha kutokubaliana nalo ukinisisitiza nijibu swali lako kwanza, kwa tafsiri ya haraka kile nilichokiandika hakikuhusiana na swali lakoNa wewe kwanini uniulize maana ya imani na umesema hukuelewa swali Ili hali umeshalijibu?
Bado unataka ubishani wa kishamba hutaki kukubali kwamba pale ulibugikuhusu hiyo hoja wala sijakurupuka ninajua ninachokisimamia na jinsi Mungu aliwasilisha maneno yake kwa mwanadamu , katika visa vingi malaika wanatumika kama redio ya Mungu mtu akisikia redio hawezi kufikiria redio ndio inasema hivyo bali mtangazaji anasema kupitia redio hilo liko wazi...
ile sadaka ya Abraham hakuelekezwa kwa malaika bali kwa Mungu na lazima Mungu ndio angeonyesha kuikubali sio malaika ...
lakini jambo KUU sio kujadili huo mstari BALI lilakuwa je Mungu anajua kila kitu mtu atafanya au atatenda yaani ni Mungu amepanga kila kitu! kitu ambacho biblia haiungi mkono hata kidogo
Bado unataka ubishani wa kishamba hutaki kukubali kwamba pale ulibugi
malaika ndio wanatumika lakini haimaanishi kwamba watumikapo wanakua programmed kwamba kila kitu wafanyacho huagizwa na mungu
nakupa mfano
Malaika aliyeagizwa na mungu kufikisha ujumbe sehemu husika hua anasema kabisa kwamba Mungu ameniambia nikuambie hivi na vile na ndio maana hata hapo ukisoma mstari wa 15 malaika akamwambia, “Mwenyezi-Mungu asema hivi: Nimeapa kwa nafsi yangu kwamba kwa kuwa umefanya hivi, wala hukuninyima mwanao wa pekee,
hivyo ndivyo namna malaika wanavyo deliver ujumbe kwa kutanabaisha wazi, lakini haimaanishi ule mshangao wa malaika kwa abraham nao ni ujumbe wa mungu na ndio maana pale alikua anajisemea yeye binafsi hakusema kwamba mungu
mwanzo 22:12 Kisha akasema: “Usimdhuru mvulana huyo, wala usimtendee lolote, kwa maana sasa ninajua kwamba unamwogopa Mungu kwa sababu hukuninyima mwana wako, mwana wako wa pekee.”"Usimdhuru mtoto wala usimfanye lolote! Sasa ninajua kwamba unamcha Mungu"
hapo penye bold na italic unaweza ukasema ni maneno ya mungu aliyomuagiza malaika ayaseme?
Nina hoja nyingi ya kutetea upande wangu kupitia references za biblia ila sitaki habari za kuhama hama mjadala kama ambavyo wewe unafanyamwanzo 22:12 Kisha akasema: “Usimdhuru mvulana huyo, wala usimtendee lolote, kwa maana sasa ninajua kwamba unamwogopa Mungu kwa sababu hukuninyima mwana wako, mwana wako wa pekee.”
hilo neno "hukuninyima" lina neutralize hoja yako...
lina tofauti kubwa na hukumnyima
ukitaka kupata kisa kama hicho soma pia mwanzo sura ya 19 halafu baada ya hapo malizia na kutoka 33:22