Kama kijana nifanye vipi sasa kabla muda haujanitupa mkono?

Kama kijana nifanye vipi sasa kabla muda haujanitupa mkono?

Kuwa car dealer mkubwa ila si kumiliki kiwanda
Huo ni uchuuzi, ni biashara ya kununua na kuuza, haimtofautishi aliyeenda shule na ambaye hajaenda shule, muhimu mtaji tu, kwa maana hiyo elimu yako itakuwa haina maana zaidi ya kupoteza muda tu ; unatakiwa ujikite kwenye biashara kwa kuangalia taaluma yako, yaani tengeneze na kuuza (hii ndio biashara iliyoenda shule).​
 
Kwanza kabisa ukitaka kufanikiwa acha na habari za wanawake tafuta mmoja sahihi kwako utafanikiwa sana. .

Pili angalia kampani yako. Mara nyingi sana marafiki wanachangia sana jinsi maisha yako yakakavyokua. Ukiwa na marafiki wa kubet, walevi nk kifupi marafiki wa hovyo na wewe utakuwa kijana wa hovyo

Tatu acha na mambo ya dhuluma. Wengi wanakwama kwa sababu ya dhuluma. Babu yangu alinionya nisije kuwa mwizi au kuwa polisi alikataa kabisa

Nne hii ingekuwa ya kwanza ila nishaandika hivyo mtumainie dana Mungu. .

Mwisho kabisa achana na mambo ya kukupotezea mda. Mfabo vijiwe, umbea na mitandao ya kijamii. Kwenye mitandao ya kujamii uwepo wako uwe wa faida sio kupoteza mda. .
Tatu acha na mambo ya dhuluma. Wengi wanakwama kwa sababu ya dhuluma. Babu yangu alinionya nisije kuwa mwizi au kuwa polisi alikataa kabisa....

Mwizi na polisi hata mm Babu yangu aliwai nambia 🤠

Kuna wizi wa kalamu na wizi......kibaka

🐥 Babu atakua alimaanisha wizi wa ujambazi "kibaka"
 
Back
Top Bottom