Kama kijana nifanye vipi sasa kabla muda haujanitupa mkono?

Kama kijana nifanye vipi sasa kabla muda haujanitupa mkono?

Hongera sana dogo kwa kujitambua.

Chuoni jitahidi usome kwa bidii uwe nondo kwenye proffessional unayosomea.

Ila pia uwe na extra callicular ya kukufanya ujulikane na kukujengea jina kubwa . Hakikisha mpaka unafika 30. Uwe maarufu kwa ujuzi fulani.

Mimi nakushauri kama unatoka ukoo ambao hauna connections maofisini ama biashara kubwa jitahidi wewe kujenga brand kwa njia ya yoyote halali.

Usiwe na aibu.

1. Jifunze kuigiza. Na nenda kaombe chance kwa ma director wa tamthilia za kibongo hata kwa kujitolea tu.

2. Jifunze bongo fleva hata kuimba singeli . Wimbo mmoja tu ukibahatisha uka hit. Ghafla Unapata mtaji wa nguvu

3. Tengeneza content za social media. Tik tok, instagram na youtube.

4. Jifunze U MC wa masherehe

5. Jifunze utangazaji wa habari. Hata kama hujasomea taaluma hiyo. ( taaluma hii inakupa umaarufu na kujenga brand fasta )

Bongo umaarufu unawapa watu connections kali sana. Utakutana na watu wengi wanaoweza kukupa ajira kwenye ulichosomea chuo. Na hata ukuu wa wilaya, ubunge ama uwaziri
 
2... [emoji23]
 
Huo ni uchuuzi, ni biashara ya kununua na kuuza, haimtofautishi aliyeenda shule na ambaye hajaenda shule, muhimu mtaji tu, kwa maana hiyo elimu yako itakuwa haina maana zaidi ya kupoteza muda tu ; unatakiwa ujikite kwenye biashara kwa kuangalia taaluma yako, yaani tengeneze na kuuza (hii ndio biashara iliyoenda shule).​
Labda kuyafufua magari mabovu then niuze. Umenishauri kitu kikubwa sana.
 
Wenye ujuzi wa veta ndio waanzishe gereji, ila huyu wa chuo kikuu anatakiwa afungue kiwanda.
Ni kweli kabisa. Shida ni capital. Na elimu ya TZ haitoshi mhitimu kufungua kiwanda cha kutengeneza magari tena kwa teknolojia yake. Kiwanda siyo mchezo! Cha sindano tu ni issue sembuse cha magari?
 
Kuna brother angu mmoja ni tycoon kwenye media.....

Miaka ya nyuma sana nilienda kwake anipe connection........

Akanambia AM 4 REAL [emoji851] [emoji846] Wewe sio aggressive kwenye kujipambania.....

Tangu hapo nimekua aggressive kwenye kujipambania
Bro alikupa code moja ya hatari sana
 
Kwa sasa anza kumiliki hivi:
1. Nidhamu
2. Imani
3. Juhudi
Skills umesahau. Unalipwa kwa value ya unayozalisha,na sio muda wako,Mana hata mbuzi anao muda wake pia.
Pia mbona umependelea mno ambao Ni intellectual so ambao sio intellectual hatuna uwezo wa kuongea dogo ama kwenu wote ambaye hajasoma kaishia bachelor.
Lower down your ego ,weka elimu pembeni usiitangulize kila mahala. Kumbuka mwana fa Ni waziri Ila Kuna maprofesa na PhD holders wako pembeni.

Hivi Prof Muhongo ama mataragio wa tpdc Ni wakuwekwa pembeni.

Yaani ujanja Janja kujipendekeza ,kuwa chawa mno,kusifia hata penye ujinga 2025 upo bungeni
 
1. KIWANJA & MASHAMBA (wekeza kwenye ardhi usije ukaja kujuta kwa nini huku nunua eneo flani kipind iyo viwanja vilikua bei cheee la muhimu zingatia location)

2. KUJENGA (usisubir uwe na ela nyingi ndo uanze ujenzi au uzeeni ela ya pension)

3. WEKEZA (utt AMIS mfukoni wa bond au liquidity, government bond, hisa, fixed deposit account (FDA), cryptocurrency ila apa ujue coin gani nzuri uwekeze ila nzuri ni top 3 au 2 BTC, ETH na labda BNB, kuna Mashamba uko unawez ukaenda kulima mikorosho au mbao)

4. BIASHARA (anzisha biashara iendeleze mpak watot nawo waje wafany iyo biashara uwafundishe iwe kama ya familia wajue baba anafanya biashara iii ata wasipo ajiriwa maisha yao pia yaende kulko kumsubir mty au connection)

5. WATOTO( tafta watot mapema ila kama una uwezo wa KUHUDUMIA kama hauna uwezo jipange usije ukamuumiza dogo)

6. JIPENDE ( balance diet, maji mengi, matunda, mazoez....punguza pombe na sigara vyanzo vya mgonjwa mengi uzeeni [emoji117]liver cirrhosis, kansa ya kooo, kidney failure na magonjwa mengine)

7. MARAFIKI (tafta marafik ambao watakusaidia ukiwa na shida na ww pia)

8. KUSOMA (endelea kusoma kdg kdg usije juta bdae we una diploma wenzio wana master)

9. SALI (mwombe mungu sana upate mty aliye sahihi + utenge mda wako kumjua mty unaeenda kuanza nae maisha usikurupuke)

10. TAFTA ELA HASWA NA UUKATAE UMASKINI NI MBAYA SANA ( amna kity kinamuumiza mzazi kama kukosa ela ya ada, matibabu, chakula na mambo mengine ya ki financial ni bhax ty)
Ahsante
 
Back
Top Bottom