Kama kijana nifanye vipi sasa kabla muda haujanitupa mkono?

Kuwa car dealer mkubwa ila si kumiliki kiwanda
Huo ni uchuuzi, ni biashara ya kununua na kuuza, haimtofautishi aliyeenda shule na ambaye hajaenda shule, muhimu mtaji tu, kwa maana hiyo elimu yako itakuwa haina maana zaidi ya kupoteza muda tu ; unatakiwa ujikite kwenye biashara kwa kuangalia taaluma yako, yaani tengeneze na kuuza (hii ndio biashara iliyoenda shule).​
 
Tatu acha na mambo ya dhuluma. Wengi wanakwama kwa sababu ya dhuluma. Babu yangu alinionya nisije kuwa mwizi au kuwa polisi alikataa kabisa....

Mwizi na polisi hata mm Babu yangu aliwai nambia 🤠

Kuna wizi wa kalamu na wizi......kibaka

🐥 Babu atakua alimaanisha wizi wa ujambazi "kibaka"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…