Kama kijana nifanye vipi sasa kabla muda haujanitupa mkono?

Hongera sana dogo kwa kujitambua.

Chuoni jitahidi usome kwa bidii uwe nondo kwenye proffessional unayosomea.

Ila pia uwe na extra callicular ya kukufanya ujulikane na kukujengea jina kubwa . Hakikisha mpaka unafika 30. Uwe maarufu kwa ujuzi fulani.

Mimi nakushauri kama unatoka ukoo ambao hauna connections maofisini ama biashara kubwa jitahidi wewe kujenga brand kwa njia ya yoyote halali.

Usiwe na aibu.

1. Jifunze kuigiza. Na nenda kaombe chance kwa ma director wa tamthilia za kibongo hata kwa kujitolea tu.

2. Jifunze bongo fleva hata kuimba singeli . Wimbo mmoja tu ukibahatisha uka hit. Ghafla Unapata mtaji wa nguvu

3. Tengeneza content za social media. Tik tok, instagram na youtube.

4. Jifunze U MC wa masherehe

5. Jifunze utangazaji wa habari. Hata kama hujasomea taaluma hiyo. ( taaluma hii inakupa umaarufu na kujenga brand fasta )


Bongo umaarufu unawapa watu connections kali sana. Utakutana na watu wengi wanaoweza kukupa ajira kwenye ulichosomea chuo. Na hata ukuu wa wilaya, ubunge ama uwaziri
 
2... [emoji23]
 
Labda kuyafufua magari mabovu then niuze. Umenishauri kitu kikubwa sana.
 
Wenye ujuzi wa veta ndio waanzishe gereji, ila huyu wa chuo kikuu anatakiwa afungue kiwanda.
Ni kweli kabisa. Shida ni capital. Na elimu ya TZ haitoshi mhitimu kufungua kiwanda cha kutengeneza magari tena kwa teknolojia yake. Kiwanda siyo mchezo! Cha sindano tu ni issue sembuse cha magari?
 
Bro alikupa code moja ya hatari sana
 
Kwa sasa anza kumiliki hivi:
1. Nidhamu
2. Imani
3. Juhudi
Skills umesahau. Unalipwa kwa value ya unayozalisha,na sio muda wako,Mana hata mbuzi anao muda wake pia.
Pia mbona umependelea mno ambao Ni intellectual so ambao sio intellectual hatuna uwezo wa kuongea dogo ama kwenu wote ambaye hajasoma kaishia bachelor.
Lower down your ego ,weka elimu pembeni usiitangulize kila mahala. Kumbuka mwana fa Ni waziri Ila Kuna maprofesa na PhD holders wako pembeni.

Hivi Prof Muhongo ama mataragio wa tpdc Ni wakuwekwa pembeni.


Yaani ujanja Janja kujipendekeza ,kuwa chawa mno,kusifia hata penye ujinga 2025 upo bungeni
 
Ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…