Kama kijana nifanye vipi sasa kabla muda haujanitupa mkono?

Ukiwa na maana gani hapa mkuu?
 
0.Omba kwa imani yako kwenye kila jambo, halafu fanya kwa juhudi.

1.Usiogope kufanya jambo kwa kuogopa kukosea, tunajifunza kwa kufanya, sii kuhadithiwa wala si kwa kuiga.

2.Elimu haikufanyi kuwa na akili nyingi bali inaamsha akili haraka, unapotafuta skills mpya tafuta mwenye kujua sio lazima awe wa shule kuna skills za maisha nyingi ambazo shule haitufundishi.

3.Kila unayekutana nae analo la kukufunza as well pia utakuwa nalo lolote la kumfunza, pick wisely.

4.Tafuta wazo la biashara na ufanye kwenye uhalisia sio kwa pdf, kuhadithiwa rejea namba 1.

5.Kwenye kusaka lako aibu isiwepo.

6.Mapenzi usiyape kipaumbele tumia akili kuliko hisia.

7.Usipuuzie mambo yasemwayo na waliokutangulia kwenye kila jambo, mfano ukisikia ulevi, umalaya, uhuni unafelisha basi usiseme kuwa wewe utaweza.

8.Do not overthink kua na maamuzi kwa kila jambo.

9.Jua kutengeneza connection na kuwasiliana hata watu wa class ya chini yako.

10.Omba kwa imani yako, utambue nini unataka maishani, nini interests zako, nini hupendi halafu ishi humo bila kuchungulia na kuji compare life la mwingine.
 
Umri wa miaka 24 ni umri mdogo sana, lakini ni kweli kwamba maisha huenda haraka sana na inaweza kuwa ngumu kufikiria juu ya mambo unayopaswa kufanya ili kujiandaa kwa siku zijazo.

Ni vizuri kwamba unajitahidi kujitayarisha na kufanya maamuzi sahihi katika maisha yako, na hiyo ni hatua kubwa. Ni muhimu kuelewa kuwa hakuna mtu anayejua kila kitu kuhusu maisha, na kwamba hakuna uwezekano wa kuwa kamili kila wakati. Kila mtu ana changamoto zake, na ni muhimu kuzitazama kama fursa ya kujifunza na kukua.

Kama unavyojua, hakuna mtu anayeweza kujua yatakayotokea kesho, lakini ni muhimu kuwa na malengo na mipango ya kufuata. Ni muhimu kufanya kazi kwa bidii na kuzingatia maadili yako, lakini pia ni muhimu kutumia muda wako kufurahia maisha na kufurahia mambo ambayo unapenda kufanya.

Kumbuka kwamba kila mtu ana njia yake ya kufikia mafanikio na furaha, na hakuna njia moja sahihi ya kufanya hivyo. Ni muhimu kuendelea kuwa na msukumo na kuamini kwamba unaweza kufikia malengo yako na kuwa na maisha mazuri.
 
[emoji119]
 
Ahsante sana
 
Ni kweli ila ndiyo nimeutumia kwenye elimu sasa.
Ulitakiwa ubaki na akili zako za kuzaliwa (usiende shule); hizi za kukaririshwa mawazo ya watu, ndio zinatufanya tusiwe kama kina Isack Newton; matokeo yake ukosefu wa ajira, kwa sababu tunataka tuishi mawazo ya watu wengine tuliomezeshwa huko mashuleni/vyuoni.
 
Tunatumaini kwamba utapata majibu ya changamoto yako na kwamba utapata nguvu na hamasa ya kufuata ndoto zako. Asante kwa kushiriki na kujifunza kutoka kwa wengine katika jamii yetu hapa.
Of course you might be a foreigner
 
Ulitakiwa ubaki na akili zako za kuzaliwa (usiende shule); hizi za kukaririshwa mawazo ya watu, ndio zinatufanya tusiwe kama kina Isack Newton; matokeo yake ukosefu wa ajira, kwa sababu tunataka tuishi mawazo ya watu wengine tuliomezeshwa huko mashuleni/vyuoni.
Umenenaa
 
Sahihi kabisa
 
Kaka maisha ya siku hizi ni kisonga front na kile unacho kiamini.
Ckuiz mambo ya nidhamu yamepitwa na wakati wewe fanya kazi kwa bidii ila usiibe wala usi zulumu.
Ukiwa na nizam nyingi huta move mana watu watakuchukulia poa kua mkali jiamini.
 
Back
Top Bottom