Kama kipato chako ni chini ya milioni Tano kwa mwezi wewe ni Maskini

Dada tanzania per capita $1,327 (nominal, 2023 est.) Kwa mwaka mzima
Chukua hiyo hela izidishe mara 2500 alafu gawanya kwa 12 utapa kama laki mbili hiko ndo kipato kwa watanzania wengi kwa mwezi na wanaishi hatakama ni kwa shida

Ishu sio kuishi.
Kuishi mtu anaweza kuishi tuu hata kule kwa hadzabe wanaishi.

Mada inasema kama upo chini ya milioni tano wewe bado upo kwenye kundi la watu Maskini.
Hivyo funga mkanda.
Wewe unaleta mihemko ya kijinga mara natafuta umaarufu, sasa umaarufu utanisaidia nini Mimi Kwa ujinga wako
 
Unatafuta umaarufu kwa mambo ya kijinga in short wewe ni mjinga
Ungejua maana ya gdp per capia income usingeongea huo ujinga wako
 
Pato la mtu mmoja hapa Tanzania ni gdp per capita $1,327 (nominal, 2023 est.) Kwa mwaka ukizidisha kwa rate ya dollar ya sasa ni kama million 3 kwa mwaka ukigawanya kwa 12 utapa kama laki 2 karibia laki 3 hiko ndo kipato cha kila mtanzania kwa mwezi
Acha kudanganya watu
 
Unatafuta umaarufu kwa mambo ya kijinga in short wewe ni mjinga
Ungejua maana ya gdp per capia income usingeongea huo ujinga wako

Kwa uelewa wako, achana na huo uliokariri huko shule na hizo gdp ulizokaririshwa na watu,
Unafikiri ni kwa nini nchi ya Tanzania na za Afrika zinaitwa maskini (wakimaanisha Umaskini uliopitiliza, Fukara)?
 
Zinaitwa maskini kwa kutumia gdp per capita income kipindi cha magufuli gdp per capita ilipanda tukaondoka kwenye nchi maskini

Nimeshangaa sana na hiki ulikua hukijui hivi huko shuleni mnasomaga au mnasukuma siku ziende
Hujui gdp per capita ndo kipimo cha kujua nchi ni maskini au tajiri na bado hujui aiseeee
 
Pato la mtu mmoja hapa Tanzania ni gdp per capita $1,327 (nominal, 2023 est.) Kwa mwaka ukizidisha kwa rate ya dollar ya sasa ni kama million 3 kwa mwaka ukigawanya kwa 12 utapa kama laki 2 karibia laki 3 hiko ndo kipato cha kila mtanzania kwa mwezi

Sasa mtu anayeingiza kwa mwezi laki tatu huyo si fukara.
Unategemea atamudu mahitaji yake ya msingi?
 
Zinaitwa maskini kwa kutumia gdp per capita income kipindi cha magufuli gdp per capita ilipanda tukaondoka kwenye nchi maskini kipindi cha samia gdp per capita imeshuka tumerudi tena kwenye kundi la nchi maskini

Back
Top Bottom