Kama kipato chako ni chini ya milioni Tano kwa mwezi wewe ni Maskini

Kama kipato chako ni chini ya milioni Tano kwa mwezi wewe ni Maskini

Sasa kwa utu uzima wako unapoambiwa upo nchi maskini Unafikiri wanamaanisha jambo gani?
Kwamba nchi maskini ndo wanatumia hiko kigezo chako
Unajua vigezo vya kujua hii nchi ni maskini
We endelea kutafuta umaarufu kwa kupost ujinga na utoto
Unaweza ukawa maarufu kwa mambo ya kijinga kumbuka hata mwijaku na baba levo ni maarufu
 
.jamaa yangu analipwa 800k kwa mwezi halafu ana gari la mkopo huwa namuonea huruma sana
emoji23.png
Hawa wako wengi sana hapa mjini. Kuna mwingine ana kipato cha 2M kwa mwezi lkn ana familia kama yote halafu ana gari. Aisee utamuonea huruma
 
Uko sahihi mkuu ndomana huwaga sitaki kutaka kumiliki gari wakati mm ni maskini...kipato cha kuwa gari atleast uwe unapiga 10ml per month hapo gar halitokusumbua...jamaa yangu analipwa 800k kwa mwezi halafu ana gari la mkopo huwa namuonea huruma sana[emoji23]
Wengine wanapata laki 5 Kwamwezi na Bado Wana magari, sema haya mambo ni priority tu,
 
Kwamba nchi maskini ndo wanatumia hiko kigezo chako
Unajua vigezo vya kujua hii nchi ni maskini
We endelea kutafuta umaarufu kwa kupost ujinga na utoto
Unaweza ukawa maarufu kwa mambo ya kijinga kumbuka hata mwijaku na baba levo ni maarufu

Moja ya kigezo cha umaskini ni pamoja na pato la mtu mmojammoja.
Ndio hapo nikakuambia kama upo chini ya milioni tano bado upo kwenye daraja la Umaskini.

Wewe kipi hapo unaona hakipo sawa.
Maana wenye hivyo vipato vya hiyo milioni tano wenyewe wanajua nazungumzia nini. Lakini wewe kwa vile huna hicho KIPATO huwezi Elewa
 
Pato la mtu mmoja hapa Tanzania ni gdp per capita $1,327 (nominal, 2023 est.) Kwa mwaka ukizidisha kwa rate ya dollar ya sasa ni kama million 3 kwa mwaka ukigawanya kwa 12 utapa kama laki 2 karibia laki 3 hiko ndo kipato cha kila mtanzania kwa mwezi
 
Pato la mtu mmoja ni $1,327 (nominal, 2023 est.) Kwa mwaka ukizidisha kwa rate ya dollar ya sasa ni kama million 3 kwa mwaka ukigawanya kwa 12 utapa kama laki 2 karibia laki 3 hiko ndo kipato cha kila mtanzania kwa mwezi
Hoja yako ni ipi?
Huo ni ufukara hatujafika level hata ya maskini wa Kawaida. Achilia mbali maskini aliyechangamka.
 
Back
Top Bottom