Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona kuna machalii hapa wanasema utajiri ni afya njema tu. Una neno gani kwao?Milioni tano ni maskini aliyechangamka hata wanaozimiliki kwa mwezi mbona wanalijua hili fika.
Watu tukazane tuikoe maisha ya kizazi chetu na nchi.
Hao wanaooma nawakatisha tamaa pole yao.
Kwa hio mzee tusiwe na pesa kisa nchi inadaiwa ?Khahahahaha.
Nadhani coment yangu inajielezea vizuri.
Tatizo ni pale watu wanapojizima data.
Hela nyingi za kwako kivip.
Kama unadhani kwamba vijisent unavyomiliki Kwa mda vinakupa jeuri pole yako.
Serikali ikishindwa kujiendesha hakuna rangi utaacha ona.
Kiufupi Nchi nzima ni Fukara,maskini mliochangamka.
Nyie kwenu Bora kuche tu basi.
Wasomi wasioweza kuisaidia Nchi,bali mizigo kama mizigo mingine tu.
Naona kuna machalii hapa wanasema utajiri ni afya njema tu. Una neno gani kwao?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Afya kila mtu anaweza kuwa nayo.
Lakini utajiri ni zawadi ya wateule wachache
Je, unauchukuliaje ule msemo wa "tajiri na mali zake, maskini na wanawe"?Ni vizuri kujifariji.
Usijidangaye, material things wala sio utajiri mkuu. Kwa umri wangu, nimetambua na kuelewa afya na kumjua Mungu ndio utajiri na sio hizo blah blah.Ni vizuri kujifariji.
Je, unauchukuliaje ule msemo wa "tajiri na mali zake, maskini na wanawe"?
Usijidangaye, material things wala sio utajiri mkuu. Kwa umri wangu, nimetambua na kuelewa afya na kumjua Mungu ndio utajiri na sio hizo blah blah.
Maandiko yako mengi huku mkuu unayaandika tokana na upepo wa umri wako kwa sababj bado unajitafuta. Ukishajitafuta na kujipata ndipo utaona hayo uyaonayo ya maana si kitu.
Wewe upo wapi katika hao mkuu? Tupate pa kuanzia kwanza.
Kuna vitu vingi sana mdogo wangu Mtibeli havijui tokana na umri wake. Hii Dunia ni "very complicated", kuna matajiri ila hawawezi kula chakula kwani wagonjwa na hata huo mlo mmoja haupiti wala haruhusiwi kula, anaona bora asingekuwa hata na 100 ila anakula na kuwa mwenye furaha. Kuna maskini anakula chochote na mwenye furaha na amani. Kuna mwenye miguu hawezi kutembea na kuna ambaye hana miguu ila anatembea.Je, unauchukuliaje ule msemo wa "tajiri na mali zake, maskini na wanawe"?
HahaaaaaaaMpate pakuanzia kufanyaje?
Au kuchakarika ili uondokane na umaskini
Kuna vitu vingi sana mdogo wangu Mtibeli havijui tokana na umri wake. Hii Dunia ni "very complicated", kuna matajiri ila hawawezi kula chakula kwani wagonjwa na hata huo mlo mmoja haupiti wala haruhusiwi kula, anaona bora asingekuwa hata na 100 ila anakula na kuwa mwenye furaha. Kuna maskini anakula chochote na mwenye furaha na amani. Kuna mwenye miguu hawezi kutembea na kuna ambaye hana miguu ila anatembea.
Refer kwa Pogba anakiri ni bora alivyokuwa maskini alikuwa na furaha na amani kuliko sasa ni tajiri ila hana furaha wala amani.
Kwa umri wangu na baada ya kujipata kiuchumi, nakiri hakuna kitu bora kuliko kuwa na afya njema na kumjua Mungu wa kweli na Yesu Kristo aliyemtuma. Haya yote ni kujilisha upepo. Dunia inasumbua wanadamu hususani sisi Wanaume katika vitu vitatu. Utajiri(Mali za duniani), Umiliki(Utawala) na Mpenzi(Wanawake). Katika hilo Suleiman pamoja na utajiri na ufalme wake pamoja na kuwa na wanawake wengi, anakiri ni upuuzi mtupu na kujilisha upepo. Mkikua mtaelewa.
Amka kwenye ndoto kijana ukapambane ndo utajua kumbe unaweza kuishi Kwa 1000, ikiwa unaishi Kwa shemeji ni rahisi kulopoka.
Don't be fool, less than 5,000,000 per month income huyo ni masikini? Umetumia benchmark ipi? Ndo mana namwambia Bado unakaa Kwa shemeji,Upeo mdogo unaweza kukufanya usiwe na ufahamu wa mambo madogo.
Pesa haikufanyi uishi.
Hakuna sehemu nimezungumzia ishu ya kuishi.
Tajiri na maskini wote wanaishi.
Ila wanaishi katika ulimwengu tofauti ndani ya dunia moja
What is Poverty? Is a failure or unable to meet Basic needs, eg, Food, clothes and shelter.Upeo mdogo unaweza kukufanya usiwe na ufahamu wa mambo madogo.
Pesa haikufanyi uishi.
Hakuna sehemu nimezungumzia ishu ya kuishi.
Tajiri na maskini wote wanaishi.
Ila wanaishi katika ulimwengu tofauti ndani ya dunia moja
Don't be fool, less than 5,000,000 per month income huyo ni masikini? Umetumia benchmark ipi? Ndo mana namwambia Bado unakaa Kwa shemeji,
Amka ndotoni.