Kama kipato chako ni chini ya milioni Tano kwa mwezi wewe ni Maskini

Kama kipato chako ni chini ya milioni Tano kwa mwezi wewe ni Maskini

Katika utajiri unatakiwa kumshukuru Mungu basi ni Afya, huyu kijana akakae pale Mwaisela au Sewa Haji kwa masaa kumi na mbili atabadili kauli yake

Utajiri na afya ni category mhili tofauti kabisa Mkuu.
Afya ni Afya, utajiri ni utajiri, umaskini ni umaskini.
Mtu anaweza kuwa na afya na akawa maskini.
Na mtu anaweza kuwa anaumwa na akawa tajiri.
Na mtu anaweza kuwa maskini na tajiri na asiwe na afya
 
Katika utajiri unatakiwa kumshukuru Mungu basi ni Afya, huyu kijana akakae pale Mwaisela au Sewa Haji kwa masaa kumi na mbili atabadili kauli yake
Eeh hiki ndio kile kinaitwa kiburi cha uzima ila hujafa hujaumbika yani leo na kesho unaweza kukatwa mguu kama mzee Seleman Bungara (Bwege) ukaanza kubebwa kama kabichi na wasamaria wema na hela yako haitaweza kuzuia mguu usikatwe. We unadhani yule mzee kwa miaka aliokaa bungeni anakosa hata billion kadhaa kwenye account zake?

Furaha yote ya pesa na utajiri huyeyuka ukianza kusumbuliwa na afya kuwa mgogoro.
 
Kitu cha kuvutia ni kuwa wew pia ni takataka,

Kingine, madeni ya nchi hayatuhusu, wew kuwa na pesa nying zako zinatosha, usiamze kuleta maneno mingi,
Khahahahaha.
Nadhani coment yangu inajielezea vizuri.
Tatizo ni pale watu wanapojizima data.
Hela nyingi za kwako kivip.

Kama unadhani kwamba vijisent unavyomiliki Kwa mda vinakupa jeuri pole yako.
Serikali ikishindwa kujiendesha hakuna rangi utaacha ona.
Kiufupi Nchi nzima ni Fukara,maskini mliochangamka.
Nyie kwenu Bora kuche tu basi.
Wasomi wasioweza kuisaidia Nchi,bali mizigo kama mizigo mingine tu.
 
Back
Top Bottom