Kb Ulayaulaya
JF-Expert Member
- Jan 5, 2023
- 727
- 1,059
Khahahahahahaha.
Mawazo ya maskini bhana😂
Na ukae ukijua,kama unaishi kwenye Nchi ambayo Ina deni zaidi ya trillion 70 wewe ni mfugo uliokwisha uzwa.
Kwa maana,Kuna uwezekano wa mishahara yote watumishi wanalipwa Kwa fedha za mikopo kutoka IMF.
Nchi inakuwa Maskini,Takataka,Fukara iliyojaa watu wajinga kupitiliza wasiojielewa,kwao Bora UzimaðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜.
Wasomi wasiojua ni Kwa nn wamesoma.