Kama kipato chako ni chini ya milioni Tano kwa mwezi wewe ni Maskini

Milioni tano kwa mwezi ni kama 160,000 kwa siku, huwezi kumudu milo mitatu Serena Hotel, bado ni masikini wa kutupwa
Serena ya nini,wakati ninalima jamani.Ninakula nyumbani .Huko Serena ni nyie wajinga mnakuwa fursa kutajirisha wenye Serena.Badala ya kuwaza kuanzisha Serena yangu niwaze kwenda kula Serena jamani.
 
Kama namuona brother angu.
Anapenda sana magari but the problem ni anakuambia gari imegeuka mke wa pili.
 
Kwani hela za mishahara alikuwa anatunza tu hatumii? Usicheze na bilioni mzee,wanasiasa wengi hata M200 tu benki ni mtihani,bilionea msuya mwenyewe na utajiri na uwekezaji wake wote alikufa akaacha milioni 850 tu benki,sembuse mbunge tena wa upinzani?
Na kumbuka kadri unavyolipwa vizuri ndo unatumia pesa zaidi pia,kama unakumbuka kipindi cha Anna Makinda kama spika ashawahi kuwachana wabunge kuhusu kutumia pesa zao vizuri na kuwekeza kabla hawajastaafu au kukosa ubunge

maana watoto wa wabunge wastaafu walikuwa wanajazana bungeni kwa spika kuomba misaada kutoka kwenye mfuko wa bunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…