RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Sio hali zao. Hawakubaliani na maoni yako. Umediriki kusema mtu anaepata 5m hawezi kumudu milo mitatu? Tell me you weren't serious.Kwa nini Watu hawataki kukubali hali zao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio hali zao. Hawakubaliani na maoni yako. Umediriki kusema mtu anaepata 5m hawezi kumudu milo mitatu? Tell me you weren't serious.Kwa nini Watu hawataki kukubali hali zao?
Beba hiyo kama changamoto. Usikalie hicho kimshah
#Tume ku challenge attach hapa pay slip au TRA Returns zako umekimbia;Beba hiyo kama changamoto. Usikalie hicho kimshahara
Mketa uzi na stress za maisha huo ndo ukweli huwezi ukawa na afya ya akili ukaandika alichoandikaKabisa mkuu,
Kuna wakati unatakiwa ujue nini cha kuleta kwenye public ili usuharibu afya ya akili ya wale unaotaka wapate ujumbe wako. 5m p/m ni kama $2,000 ambayo kwa mwaka ni roughly $24,000. Hata kwa viwango vya magharibi huyu sio masikini. Huko ambako maisha ni ghali sana, bado huwezi kumuita masikini.
Ila ndio hivyo, kila mtu anataka asikike. I can imagine a jobless reading this.
Just imagine, take home ya 5m mtu ashindwe milo mitatu? Analisha kijiji au ni familia ya watu watano?Sio hali zao. Hawakubaliani na maoni yako. Umediriki kusema mtu anaepata 5m hawezi kumudu milo mitatu? Tell me you weren't serious.
Ni mtoto alafu anatatizo kubwa sana la akili yaani afya yake ya akili inashida kubwa sanaSio hali zao. Hawakubaliani na maoni yako. Umediriki kusema mtu anaepata 5m hawezi kumudu milo mitatu? Tell me you weren't serious.
Hatanii ndo maana anatumia nguvu kubwa kutetea uzi wakeJust imagine, take home ya 5m mtu ashindwe milo mitatu? Analisha kijiji au ni familia ya watu watano?
Mleta mada aseme alikuwa anatania.
Kumbe! Ila jamaa yupo sahihi kabisa kwa viwango vya kimataifa yupo sawa ,ila kwa viwango vya kidimbwi inaweza kuleta mushkeli.Picha yake nimeichukua huku huku kwenye uzi kuna mtu kaipost
Hata viwango vya kimataifa income ya $24,000+ bado sio masikini kwa tafsiri ya Robert.Kumbe! Ila jamaa yupo sahihi kabisa kwa viwango vya kimataifa yupo sawa ,ila kwa viwango vya kidimbwi inaweza kuleta mushkeli.
T
#Tume ku challenge attach hapa pay slip au TRA Returns zako umekimbia;
Do you really make money 💰 au ndo wale wakujifariji? Ni asilimia 1 % tu Dunia wanao tengeneza $ 1 million per year, avarage global income Kwa majority ni $ 12,000 per ni asilimia 10 tu Duniani wenye ku make $ 100,000 per year tuki acha na Currency 💲 huwezi kumuita anaye tengeneza Tanzania Tzsh 1 to 5 million Kwa Mwezi ni masikini, kafanye research 60 percentage ya work force Tanzania wako kwenye less than 1 million iwe ni inform to formal sectors
Sio hali zao. Hawakubaliani na maoni yako. Umediriki kusema mtu anaepata 5m hawezi kumudu milo mitatu? Tell me you weren't serious.
Wahi mirembe ni kijana mdogo sanaMilo mitatu kwa kiwango cha juu cha lishe bora hatoboi. Plus bills zingine.
Niko serious mkuu. Milioni ni pesa ya maskini aliyechangamka anayekatibia kuingia daraja la middle class.
Kwa sababu gani nile Serena kama naweza kujikudu kupika na kula ninachotaka home kwangu?Milioni tano kwa mwezi ni kama 160,000 kwa siku, huwezi kumudu milo mitatu Serena Hotel, bado ni masikini wa kutupwa
Robert Heriel Mtibeli njoo usome hapa, hivi ni viwango vya kimataifa, total annual income. Usipotoshe watu kwa personal views.
View attachment 2922265
Kipato changu kwa mwezi ni Tsh 4,999,000/= kumbe mimi bado ni maskini.Mtaa ninakoishi watashangaa sana kusikia na mimi niko katika kundi la masikini.Kwema Wakuu!
Kuna aina tatu za Maskini.
1. Maskini wa kutupwa (Fukara)
2. Maskini wa kawaida
3. Maskini aliyechangamka.
1. Maskini Fukara
Maskini Fukara hili kundi ni wale Watu ambào kula yao ni mshikeshike, hawana pakuishi, yaani hawa ndio huitwa hohehahe. Hawa kwa asilimia kubwa wamekata tamaa ya maisha. Na ukikutana nao moja kwa moja umaskini ndio utambulisho wao.
2. Maskini wa Kawaida.
Hili ni kundi ambalo wengi tupo hapa.
Hawa wanapata kiasi mahitaji yao ya msingi lakini sio Quality. Yaani atakula ndio chakula lakini sio mlo kamili.
Yaani yeye kila siku maugali na maharage sio shida. Kuvaa nguo za mtumba ni jambo la kawaida. Mpya ni mara mojamoja.
Makazi yao ni vibanda fulani ambavyo vinawastiri na baridi, jua na mvua. Ingawaje wao wenyewe huita nyumba lakini kimsingi sio nyumba.
3. Maskini waliochangamka.
Kundi hili ni lile la wenye vipato ambavyo ni kati ya milioni moja mpaka tano.
Kwa Tanzania kundi hili nalo hujiona limetoboa lakini kimsingi ni kundi maskini tuu kwani vipato vyao haviwezi kukidhi mahitaji ya msingi kwa kiwango kikubwa.
Mfano mtu mwenye kipato cha milioni moja mpaka tano hana uwezo wa kula milo mitatu kamili mwaka mzima pasipo kupasua matairi. Hapohapo hana uwezo wa kuishi kwenye makazi mazuri na kuvaa nguo Standard. Ni lazima kimoja atashindwa. Hapohapo awe anabima nzuri ya afya. Gari nzuri ambayo mafuta kwake sio tatizo, huku anasomesha watoto shule nzuri. Utagundua hicho kipato ni kidogo mno.
Kundi hili linanafasi ya kupambana na kuingia kundi la matajiri daraja la chini ambao kipato chao ni milioni 10 mpaka milioni mia moja.
Ishu inakuja pale ambapo Watanzania wengi tukishapata tumilioni mbili kwa mwezi ndio tunaona tumeshatoboa na tunaanza kubweteka ilhali kimsingi bado tupo tabaka la juu la maskini.
Unapoambiwa nchi yako ni maskini elewa kuwa robo tatu ya wananchi vipato vyao kwa mwezi havitoboi milioni tano.
Ukisikia mtu anakuita Maskini na unajiona una maisha mazuri. Sijui gari, nyumba na unapesa za kubadilisha mboga alafu muda huohuo kipato chako halifiki milioni tano jua anahaki ya kukuita hivyo.
Ingawaje umaskini kwa upande mwingine ni mtazamo. Mtu anaweza kuwa Maskini wa kipato lakini akawa anajiona tajiri(mental illness) alafu yupo mwenye kipato cha milioni 100 alafu anajiona maskini(hana shukrani).
Ijumaa Kareem
SureHata viwango vya kimataifa income ya $24,000+ bado sio masikini kwa tafsiri ya Robert.