Kama kipato chako ni chini ya milioni Tano kwa mwezi wewe ni Maskini

Acha kujifariji mkuu.

Kula, kuvaa na kulala ndani haitoshi.

Inatakiwa uwe kwanza na afya na uzima kisha uwe na uwezo wa kuamua yafuatayo;

1. Ule nini na sio kula kulingana na ulichonacho au ratiba.

2. Uwe na mavazi ya kuvaa pasipo kujua idadi ya nguo ulizinazo na uwezo wa kuwa nadhifu na kupendeza kila wakati kwa kubadilisha mavazi upendavyo kwa siku. Sio kuvaa nguo mpaka ifubae au watu kukukariri kwa mavazi yako.

3. Kulala sehemu isiyo na makekele ya shughuli za kibinadamu. Nyumba ya maana na madhari ya kuvutia yenye hewa safi na utulivu.

Mwisho uwe na uwezo wa kusafiri duniani na kuishi sio kukimbizana kutafuta hela ya kula.

#Kataa umasikini
#Umasikini ni laana
 
Watakuja kukupinga mkuu hawataki kusikia hili. Million 5 ni pesa ndogo sana kutimiza haya, mtu hata mara moja kwa mwaka hajaenda hata vacation tuachane na habari za Dubai tuseme tu hapa hapa nchini kutembelea tu hata mbuga za wanyama na familia, kulala tu hata pale Bilila au Grumeti, au Seronera halafu anakaza fuvu hapa kusema Million 5 ni tajiri. Sh3nzxy type!!

Hivi ushawahi waza hata mara moja in your lifetime uende ukafanye kitu ya trophy hunting huko kwenye hunting blocks Tanzania yetu hii hii?? Do you know the amount of experience do you get out of that adventure?? Unadhani Million 5 ita cater for that?? Tutafute pesa wakuu
 
Tufanye huyu mtu Yuko sekta binafsi maana ndo mishahara wengi wanapata
Nssf- 500,000
Tra- 1178000 kodi inayoenda serikalini
Take home 3322000
Hapo ndo anaweza kuangalia matumizi binafsi yakoje kama ni mtu wa starehe bado itakuwa Hela mdogo sana
 
Tufanye huyu mtu Yuko sekta binafsi maana ndo mishahara wengi wanapata
Nssf- 500,000
Tra- 1178000 kodi inayoenda serikalini
Take home 3322000
Hapo ndo anaweza kuangalia matumizi binafsi yakoje kama ni mtu wa starehe bado itakuwa Hela mdogo sana

Kama atakuwa mbinafsi ni hela ya kati. Yaani mtu asiyesaidia ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…