Kama kipato chako ni chini ya milioni Tano kwa mwezi wewe ni Maskini

Kama kipato chako ni chini ya milioni Tano kwa mwezi wewe ni Maskini

Hicho ndo ulich ona tu,the good things,hiyo principle of management course chuo nazijua no new
Basi kwenye battle usifiche information. Usifiche modern weapons use them. Sasa ushajua umaskini ni zaidi ya kukosa basic needs ulizozitaja food, clothes and shelter. Million 5 ni peanut tu
 
Wewe kama ni mkristo kasome upya biblia acha kujificha kwenye unyonge. Biblia inamtaka mtu mwema aache urithi kwa watoto na watoto wa wanawe

Mithali 13: 22 kaisome vizuri kama wewe ni mkristo. Hata huyo Mungu alimuumba Adam akamweka bustani ya Eden ikiwa na kila kitu ambacho angekiitaji. Huo mstari hapo juu unakutaka wewe kama kweli ni mtu mwema uache urithi wa mali kwa wanako na wajukuu zako.

Sasa unaweza kuacha urithi kwa Hao wote kama wewe ni masikini??
Umaskini ni nini mkuu? Unapimwaje au unapimwa katika scale gani?
 
Sijasema haliwez kukugusa,
Haya nambie in last 20 years ni nch ngapi za africa wananchi wameteswa na madeni ya nchi zao ? Kidunia yenyewe taja nchi 5 tu ndani ya miaka 20 zilizo default
Zambia,Zimbabwe,Niger,Uganda,Rwanda na nyingine tu nyingi ambapo mpaka China ikasamehe baadhi ya madeni.
Uganda mpaka China wakakamata Uwanja wa ndege
 
5 Million, pesa nyingi sana aisee...na hii Tz ni wachache mno wanafikia hicho kiwango.Mkoani mtu anayeweka kibinndoni 2M anamaisha mazuri sana, gharama za maisha ziko chini kiasi ukilinganisha na Dsm.
Usitishe watu aiseee, hata humu wenye 5M kwa mwezi wanahesabika, mtu anayeingiza 5M kwa mwezi kama ni mfanyabiashara ujue hizo assets au mzunguko wake kwa mwezi sio mchezo...kama ni mwajiriwa basi hiyo kampuni au taasisi sio ya kitoto...
 
Mkuu,
Hakuna mahali umetoa takwimu za kiuchumi/kimahesabu kusupport hoja zako, yaani umeendeshwa na mihemko ndio maana utapata upinzani kimtazamo. Huwezi kusema 5m ni masikini bila kutoa facts za kuichumi, huwezi kusema mtu wa 5m per month hata milo mitatu kamili ni shida tukakuacha tu upotoshe jamii.

Hata hizo Data au takwimu ni mitazamo ya Watu.

Ni sawa na aliyesema maskini ni yule anayeishi chini ya dola moja. Huo ni mtazamo wake. Na sio Fact. Kwa sababu zipo jamii zimaishi vizuri pasipo kutumia pesa hata shilingi moja.

Milo mitatu usifikiri ni hiyo iliyojaa wanga. Hapa tunazungumzia balanced diets, kisha gari kali ambayo mafuta hayasumbui, watoto wanasoma shule nzuri, mavazi ya kisasi, jumba zuri.
Haya embu niambie hiyo milioni tano inatosha nini hapo.

Ndio maana kwa nchi yetu mtu anayelipwa milioni tano hata TRA akifika kwake kuna maisha wakiona anayo lazima waseme ni mwizi.

Kwa sababu milioni tano ni maskini aliyechangamka.
 
5 Million, pesa nyingi sana aisee...na hii Tz ni wachache mno wanafikia hicho kiwango.Mkoani mtu anayeweka kibinndoni 2M anamaisha mazuri sana, gharama za maisha ziko chini kiasi ukilinganisha na Dsm.
Usitishe watu aiseee, hata humu wenye 5M kwa mwezi wanahesabika, mtu anayeingiza 5M kwa mwezi kama ni mfanyabiashara ujue hizo assets au mzunguko wake kwa mwezi sio mchezo...kama ni mwajiriwa basi hiyo kampuni au taasisi sio ya kitoto...

Kwa nchi iliyofukara lazima useme hivyo. Kwa sababu maskini wa kawaida anatakiwa pato lake licheze kwenye milioni moja mpaka mbili unusu. Maskini aliyechangamka ndio hiyo milioni 3 mpaka tano.

Middle class NI hao wenye vipato vya milioni kumi huko kwa mwezi.

Sema Kwa hapa Tz mtu akilipwa milioni 2 sio ajabu mtaani akaitwa Fogo. Lakini ukifuatilia kwa umakini naye ni maskini tuu. Hajafikia hata maisha ya kawaida.
 
Hata hizo Data au takwimu ni mitazamo ya Watu.

Ni sawa na aliyesema maskini ni yule anayeishi chini ya dola moja. Huo ni mtazamo wake. Na sio Fact. Kwa sababu zipo jamii zimaishi vizuri pasipo kutumia pesa hata shilingi moja.

Milo mitatu usifikiri ni hiyo iliyojaa wanga. Hapa tunazungumzia balanced diets, kisha gari kali ambayo mafuta hayasumbui, watoto wanasoma shule nzuri, mavazi ya kisasi, jumba zuri.
Haya embu niambie hiyo milioni tano inatosha nini hapo.

Ndio maana kwa nchi yetu mtu anayelipwa milioni tano hata TRA akifika kwake kuna maisha wakiona anayo lazima waseme ni mwizi.

Kwa sababu milioni tano ni maskini aliyechangamka.
Wenzako hawaweki mabandiko bila kufanya tafiti, yaani hawajiandikii tu kutoka kichwani. Ni tafiti kwa tafiti. Wakiema $2.15 wameshaweka vigezo vya binadamu wa kawaida kuishi, ndio maana ikaitwa estimated amount.

Wewe unaandika hisia binfasi tu, hazina tafiti..ni mihemko yako tu. Walau basi ungeenda kwa jamii fulani na kufanya utafiti ili uje uisemee, nenda pale Makanya kwenu ufanye utafiti, utaeleweka.
 
Wanaweka vigezo kwa mitazamo yao na hisia zao.
Hao unaowaita wenzangu wanaposema maskini ni chini ya dola moja huo ni mtazamo wao. Hauna úhalísia. Kama utasema ufuatao hoja yao kimantiki
 
Huko hata ndege hazifiki mkuu 😀

Ni Kweli.
Utajiri unapoujadili kwa hoja za kimantiki utagundua kuwa ni maoni na mtazamo wa Watu tuu na sio uhalisia.
Kwa sababu wapo Watu wenye vipato au wasiotumia kabisa pesa na wanaiona matajiri au mahitaji ya yao ya msingi wanayatimizsla.

Kumbuka sio kila mwanadamu gari, jumba kubwa, nguo za kifahari huona kama ndio utajiri.
Wengine kuzaa watoto wengi au kuwa na wake wengi huona kama ndio utajiri.

Mimi nimezungumzia utajiri na umaskini kwa mtazamo wangu kulingana na dunia niionavyo.

Mimi mtu akisema kuwa maskini ni yule anayeishi chini ya dola moja ninaweza kusema hakuzungumzia tuu maskini bali Fukara.
 
Wanaweka vigezo kwa mitazamo yao na hisia zao.
Hao unaowaita wenzangu wanaposema maskini ni chini ya dola moja huo ni mtazamo wao. Hauna úhalísia. Kama utasema ufuatao hoja yao kimantiki
Hawafanyi hivyo kwa hisia wala mtazamo wao, wanafanya tafiti mkuu. Wakisema below $2.15 ni masikini wana vigezo tena vya msingi kabisa

Nipe vigezo vyako, lete takwimu zako ili tujadili kwa hoja.
 
Hawafanyi hivyo kwa hisia wala mtazamo wao, wanafanya tafiti mkuu. Wakisema below $2.15 ni masikini wana vigezo tena vya msingi kabisa

Nipe vigezo vyako, lete takwimu zako ili tujadili kwa hoja.

Embu toa hoja ni kwa namna ipi mtu anayeishi chini ya 2.15usd ni maskini alafu utaelewa hayo ni maoni na mtazamo wao tuu.

Kwa sababu pesa hiyo hapo Unazungumzia 5k+
Niambie hiyo pesa kwa mtu aliyepo Mbeya au matombo ni maskini kwa vigezo vipi?

Ndio maana nikakuambia nao ni mtazamo wao tuu.
Ishu za kijamii nyingi hazipo kisayansi kama unavyotaka kueleza. Nyingi ni hisia na maoni tuu ya wataalamu ambao wanatumia silaha ya elimu ile mliyokaririshwa kupata uungwaji mkono.
 
Wanaweka vigezo kwa mitazamo yao na hisia zao.
Hao unaowaita wenzangu wanaposema maskini ni chini ya dola moja huo ni mtazamo wao. Hauna úhalísia. Kama utasema ufuatao hoja yao kimantiki
Kwa hiyo bwana Robert haya ni maoni yako na mtazamo wako tu si uhalisi? Kwamba mtu anaepata 5m kwa mtazamo wako ni nasikini ila si uhalisia?
 
Back
Top Bottom