MANDEVUMENGI
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 1,345
- 3,570
Unatakiwa kurudia kujifunza maana ya maskini.
Kwahiyo kipimo cha umaskini bongo ni kutokumudu milo mitatu SH.?Milioni tano kwa mwezi ni kama 160,000 kwa siku, huwezi kumudu milo mitatu Serena Hotel, bado ni masikini wa kutupwa
Uko sahihi mkuu ndomana huwaga sitaki kutaka kumiliki gari wakati mm ni maskini...kipato cha kuwa gari atleast uwe unapiga 10ml per month hapo gar halitokusumbua...jamaa yangu analipwa 800k kwa mwezi halafu ana gari la mkopo huwa namuonea huruma sana[emoji23]
Ana ist mkuuDuh gari gani?
πHuku ni kukatishana tamaa na kutishiana!!kimsingi kila mtu huamua standard ya maisha na style anayotaka kuishi!!...live your life bila kujali raia wanaya~term kama umasiki grade one au vinginevyo!
Waje tu haina tabuUtasabisha jam
Wenye hela hawawezi weka avatar kama aliyoweka yeye.. hizo editing za picha zinapatikana infinix sijui π€£Aisee! Mtu mwenye wastani wa $24,000 kwa mwaka nchini Tanzania unamuita masikini? Kijana hebu acha kuwapa stress vijana wenzio.
Kwanini unamuonea huruma? Ashawahi kuja kukuomba pesa ya mafuta/ msosi?Uko sahihi mkuu ndomana huwaga sitaki kutaka kumiliki gari wakati mm ni maskini...kipato cha kuwa gari atleast uwe unapiga 10ml per month hapo gar halitokusumbua...jamaa yangu analipwa 800k kwa mwezi halafu ana gari la mkopo huwa namuonea huruma sana[emoji23]
.πAisee! Mtu mwenye wastani wa $24,000 kwa mwaka nchini Tanzania unamuita masikini? Kijana hebu acha kuwapa stress vijana wenzio.
Wenye hela hawawezi weka avatar kama aliyoweka yeye.. hizo editing za picha zinapatikana infinix sijui π€£
Ni maskini mwenzetu, aje tupeleke CV kwa Boss la DP World
Hizo aina za umasikini umezitolea wapi ndgu?
Kwa kufuata vyanzo gani au tafiti gani?
Huku ni kukatishana tamaa na kutishiana!!kimsingi kila mtu huamua standard ya maisha na style anayotaka kuishi!!...live your life bila kujali raia wanaya~term kama umasiki grade one au vinginevyo!
Kwa mwezi million 2 ,mim Ni Tajiri mtaa mzima nikipita wanasalimia shikamoo ,.....
Kiufupi naweza kulisha mtaaa weekend ,Kwa Tz million 2 Kwa mwezi unakuwa umetoboa maisha ...tembea kifua mbele kabisa [emoji23]
Ni kweli, najitahidi nisave 200k inanishinda najikuta nasave 100k tu.Bas hapo sawa, sema utakuwa na pesa kidogo sana kwa ajiili ya kusave