Nchi hii haijawahi kuwa nyepesi kwenye uchumi lakini kuna awamu kadhaa mambo yanakuwa nafuu
Kipindi cha kikwete kulikuwa na kampuni kibao, ajira watu wanachagua, mzunguko mkubwa wa pesa, n.k. vijana wengi walishika pesa.
Awamu ya Magufuli tunaijua kwamba vyuma vilikaza, ni special case.
hii awamu ya mama japo haiwezi kufikia enzi za Kikwete lakini si haba vyuma vimelegezwa huwezi kulinganisha hata kidogo na kipindi kilichopita, Ndio muda muafaka wa kuzisaka.
Inavyoonekana baada ya mama anarudi rais wa Bara type za kina Nyerere, Mkapa, Magu, Vyuma vinarudi kukazwa