Kama kuna hitilafu na wizi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, itakuwaje kwenye uchaguzi mkuu?

Kama kuna hitilafu na wizi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, itakuwaje kwenye uchaguzi mkuu?

Makavuli

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2024
Posts
1,425
Reaction score
1,829
Chama kama kinakubalika na wapiga kura Kuna haja Gani ya kutumia nguvu kubwa namna hii na wizi wa kura ata uchaguzi wa serikali za mitaa? Aya ni maajabu mengine nayashuhudia Tanzania

Kwamba kura zishapigwa kitambo waliopiga awajulikani

Daah hii kitu inaitwaje sijaelewa kabisa ni mambo ya aibu Aya,,
 
CCM Hata uchaguzi wao wa ndani yaani levo za shina huwa ni full wizi, labda huwajui, hawa hawana kazi ndogo
 
Hapa sasa ni muda wa CHADEMA kuja na liwalo na liwe kuelekea uchaguzi wa 2025. Ni muda sasa wa viongozi kuacha uoga na kutangaza rasmi hakuna amani,hakuna kuogopa tena watawala na nini ktatokea
 
Hitilafu zipi na Wizi wapi niwekeni sawa sijaelewa madam binamu Mndolwa
 
Back
Top Bottom