Kama kuna kosa Urusi walifanya ni kumuuzia Uturuki S400

Kwani matajiri wanalingana?! Hata Mo naye ni tajiri! Lakin vipi ikimuweka kumuweka kwenye kapu moja na akina bill gate?!
Kama siraha US naye anazitengeneza mno na Russia anatengeneza pia, na wala huku mtaani hawajui hayo mambo yao ya siraha, lakin kitaa hadi kijijini sitimbi hukongwa nyoyo na mziki mzuri wa akina criss brown, Usher, Celine Dione, nk.
Entertainment ya US imeajiri wananchi hadi vijijini, mfano wanaoweka nyimbo kwenye simu, wanaoburn CD, wanaouza t-shirt zenye logo za wasanii, nk. Lakin viwanda vya Urusi havigusi moja kwa moja watu wengi duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana huwa kuna version kwa ajili ya export,sijui hapa russia walikua na maana gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja wala haikua kugusa wala kutogusa mtoa hoja alisema urusi ina viwanda vyakila aina unavyovijua wewe wewe ukasema industry ya music

Kwan kutofika tanzania ndio kutokua na hio industry

Mbna maswali mepesi yanakua yanawapa shida kujibu

Kwamba industry ya US Ipo Juu Hakuna Anaebisha ila ukweli nikwamba hata RUSSIA Wanayo Hio Industry Nandio Ilikua Main Point

Sasa masuala yakuajiri sijui kufika kijijini kusikiliza yameingiaje hapa MKUU[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kujidhalilisha.
 
Ununuzi wa S400 kwa Uturuki ndio uliopelekea US kufanya cancellation ya kuwauzia F35; kwa sababu hizo hizo awana imani na Uturuki nchi kigeugeu.

US waliona kuna risk Russia wanaweza itumia hiyo fursa kupitia Turkey kuangalia kama kombora lao linainyaka hiyo ndege kwenye radar kirahisi, kuanzia umbali gani na kitendo kinachoweza kuwapa fursa ya kuboresha radar technology.
 
T Tanzania haiwezekani kubeba vitu vya Dunia nzima.Kuna nchi wanatumia bidhaa za kutoka Urusi pia.Pia Kuna nchi zinapata hizo Entertainment products Kama movies na music kutokea Urusi.Shida ninayoiona Ni Wao Urusi kutosambaza bidhaa zao Hadi huku Kwetu,nadhani hayo yalikua ni mapungufu ya Ukomunist.Hata wachina walikua hivyo,bidhaa zao wanauza ndani tu,walipofungua masoko bidhaa zao zilienea dunia mzima.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…