Kama kuna kosa Urusi walifanya ni kumuuzia Uturuki S400

Anachambua kwa kina"ila jamaa hela atakuwa nayo maana ni mwana jf

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha hahaha hela nitoe wapi Mkuu!?
Nimetoa mtazamo wangu tu.Humu JF Kuna wataalamu wa kila fani.nilijua tu kuwa Kuna watu wataniondolea kiu ya maoni yangu.
Nipe Nondo zako Mkuu.
Ila bado Nina wasiwasi huko the dako hii Vita itachukua sura mpya,NATO wamekutana kujadili hatima ya mwanachama wao.Turky.Na Turkey amekwisha fungulia wakimbizi wameisha Anza kuingia Bulgaria.Europe wameanza kutafakari Jambo hilo.lnawezekana NATO wasiingie kijeshi lakini vipi wakimpa Turkey sophisticated weapons kumpiga Urusi Hali itakuaje?
 
Machuma chuma haya yasiwatishe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I knew you gonna answer like this.
Nakurudisha nyuma ulisema hivi



Swali langu liko palepale Mrusi anakiwanda cha iPhone? Mchina anacho
Mkuu unajua maana ya neno ANA KARIBU?
Maana yake sio vyote.Lakini anavyo viwanda Kama vya Marekani.
Nadhani hiyo imekaa sawa.
Kwa maana hiyo unakubaliana na Mimi kuwa URUSI pia, ana viwanda ambavyo Marekani Hana?
Na unakubaliana na Mimi kua Marekani hununua bidhaa zilizotengenezwa na viwanda vya Urusi?
 
Da uchambuzi mrua kabisa,umekata kiu yangu kabisa.
 
Da hii nayo Ni fact ambayo nilikua siijui.Asante ndugu kwa ufafanuzi huu,nimejifunza Jambo hapa.
 
Hakuna Turkey Atakachopeww Zaidi Ya Kuwataka Wafanye Mazungumzo tu

Naikitokea jamaa akapewa Basi Wanatangaza Vita Rasmi Baina Ya RUSSIA na NATO

Ila Tuupe Muda Nafasi Yake...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
J Ha ha haaa,Ndugu unazungumzia Russia ku pogwa block huko njiani Syiria,Kama Marekani alikua amewahi kisima Cha mafuta fulani huko Syiria Urusi hawezi kumtoa,halikadhalika Urusi akiwahi kisima cha mafuta huko Syiria Marekani hawezi kumtoa.Hali iliyotokea inafanana na hivyo nilivyokuambia.Urusi walikua wanaelekea kwenye eneo la kisima Cha mafuta lililokaliwa na Marekani,Marekani kweli waliwablock Warusi.
Sasa nakuuliza hivi Utakubaliana na Mimi kuwa URUSI ameiblock kabisa Marekani na NATO nchini SYIRIA?
Unajua kuwa Marekani ilikwenda Full Syiria kuwasaidia waasi kumng'oa Assad?
Unajua kuwa Marekani wameondoa majeshi Syria na Assad bado yupo?
Unafikiri Marekani kaondoka hivihivi tu.?
Hapana bwana Mrusi katibua mipango yote ya Yankee.
Kwa lugha rahisi Mrusi Kam block Marekani nchini Syiria sio barabarani tu.Ni Syria yote.
 
K
Mrusi movie zake teknolojia yake ipo vizuri naye kama Hollywood! Niliona movie yao ya Allien wanavamia Dunia.
Kosa kubwa analofanya Urusi ni kutosambaza bidhaa zake,nadhani athari na akili za ukomunist bado haijawatoka.
 
Jamaa wanaitwa waomevu kwasababu tofauti na RUSSIA Kwamaana RUSSIA Yupo Kijeshi SYRIA Kwamualiko wa Al Assad
Sasa kwanini marekani Akifanya hivyo anaitwa muonevu?.


Sent using Jamii Forums mobile app
US Alienda SYRIA LIBYA IRAQ AFGHANISTAN Kwamualiko wanani nahuko kote alipoenda maraisi ama viongozi wamataifa husika hawajabakia salama.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unataka kusema Urusi kuna akina Jay z like lakin huku bongo ndo hatuwajui?!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
'Bongo tunayo Bongo movie kama US', Hollywood na bongo movie wapi na wapi! Nadhan umenielewa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jamaa kasema Uwepo wa Urusi Syria ni mkakati kijeshi,ilo la kualikwa ni jambo jingine.

sasa kama ni mkakati wa kijeshi,Marekani nae anajeshi na ana mikakati yake pia,sasa kwanini marekani Akifanya hivyo Anaitwa jina tofauti na wengine?.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Erdogan hajaamua kuingia full fledged war na Syria.Siku akiamua nafikiri mazingira ya vita yatabadilika kabisa...Watu wanawachukulia powa sana Uturuki..
 
Naona umewaacha ndugu zako waturuki sasa unaishabikia RussiaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…