GE2025 Kama Kuna mtu anaamini Watanzania hawana uwezo wa kuitoa CCM ni mjinga

GE2025 Kama Kuna mtu anaamini Watanzania hawana uwezo wa kuitoa CCM ni mjinga

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

MlimaSayuni

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
7,285
Reaction score
13,703
Nasema hivi CCM isipomsikiliza Polepole basi viongozi wengi wa sasa wa CCM watashuhudia chama chao kinafutwa na wataishia magerezani.

Hii video nimeikuta mitandaoni, huyu ni mmoja aliyeamua kujirekodi na kufanya hivi ambaye sikutarajia kama kuna askari watakuja mbele kabla ya muda.

View: https://x.com/mangekimambi/status/1969885610652631214/video/1

Mimi ni mchambuzi wa haya masuala ya vita na machafuko duniani, kuna mambo 2-3 yakitokea kuna hali inaitwa state in collapse itaikumba Tanzania.

Kuna mambo yanahitaji Elimu na Utulivu wa akili ambayo viongozi wetu wanakosa, katika mataifa yote ambayo viongozi hukimbia nchi, sio kwa sababu hawawezi kupigana hadi mwisho ila, matukio kama la huyo Askari yanakuwa yametokea Ghafla.

Kuna uwezekano mkubwa sana Askari wakawaunga mkono Wananchi, na wengine kukataa kuzuia maandamano.

Namalizia, Asiyeona hatari iliyopo mbele ya hili Taifa bila kutafakari Mustakabali wa nchi yetu atakuwa anamchango wa machafuko yoyote yakayotokea.
 
Power is the ability to make someone do things, he won’t willingly do.

Sasa unadhani kila mwanajeshi, polisi au afisa usalama yupo happy na uongozi wa Samia?

Shida ya Mangę ni kutengeneza narrative ambayo suits her to sell it to her audience.

Wakati vita yenyewe ni ngumu kuliko uwezo wa akili yake (sisemi hana influence kwa audience yake).

But she is just shallow, hana impact
 
Shida ya Mangę ni kutengeneza narrative ambayo suits her to sell it to her audience.
Hapa kawapata haswa, na ukiona viposti vyake anayowakoromea wakalipe buku mbili mbili...
Ana akili ya yake na kajipata sana.....
 
Hapa kawapata haswa, na ukiona viposti vyake anayowakoromea wakalipe buku mbili mbili...
Ana akili ya yake na kajipata sana.....
She is my people, but she is over ambitious.

Both of us come from the school which it’s main adage is ‘we are top, amongst the, always top; top top number one.

I don’t downplay her movements, but be realistic. Same as I say to Polepole.

You can’t, imagine things in life; that’s not how things workout.
 
She is my people, but over ambitious.
She is on another level....

1758498215864.png
 
Power is the ability to make someone do things, he won’t willingly do.

Sasa unadhani kila mwanajeshi, polisi au afisa usalama yupo happy na uongozi wa Samia?

Shida ya Mangę ni kutengeneza narrative ambayo suits her to sell it to her audience.

Wakati vita yenyewe ni ngumu kuliko uwezo wa akili yake (sisemi hana influence kwa audience yake).

But she is just shallow, hana impact
Ukiona Askari ameshika Silaha anamsema kiongozi wake basi jua ni suala la muda kuna siku Viongozi watauliwa kwenye gwaride au mahali wasipotarajia
 
She is on another level....

View attachment 3477197
Her hustle doesn’t concern me, especial if she is exploiting her abilities (I believe she is worth more than that).

By me saying she is my people I am basically alluding to being an ‘alumni’ sometime in our past life we went to the same school.

Moreover, never worry about other people hustle, business wise I respect her ingenuity.

Political wise she is somewhat over ambitious.
 
My view on this one: she should not disclose such info at this time. This is no help to anyone for the struggle.

Hao wazalendo wacha waseme huko huko mafichoni kwa sasa. Hii kazi ni yetu sote, na msaada wao utahitajika wakati mahsusi. Sasa unapoanza kulikoroga na kuwaamsha hawa wapumbavu, hili linatusaidia vipi?

Kuna mambo hayahitaji kusemwa namna hii.
 
Ukiona Askari ameshika Silaha anamsema kiongozi wake basi jua ni suala la muda kuna siku Viongozi watauliwa kwenye gwaride au mahali wasipotarajia
Ndio maana nikaandika ‘power is the ability to make someone do things, otherwise he wouldn’t willingly do.

Sasa kuna mambo mengi yakupe hizo powers dhidi ya mwingine to willingly yield to your demands.

Ni hivi you need to stop feeding yourselves with nonsense.
 
Her hustle doesn’t concern me, especial if she is exploiting her abilities (I believe she is worth more than that).

By me saying she is my people it’s alluding to ‘alumni’ sometime in our past life we went to the same school.

Never worry about people hustle, business wise respect her ingenuity. Politic wise she is somewhat over ambitious.
How many lives do you have?
 
My view on this one: she should not disclose such info at this time. This is no help to anyone for the struggle.

Hao wazalendo wacha waseme huko huko mafichoni kwa sasa. Hii kazi ni yetu sote, na msaada wao utahitajika wakati mahsusi. Sasa unapoanza kulikoroga na kuwaamsha hawa wapumbavu, hili linatusaidia vipi?

Kuna mambo hayahitaji kusemwa namna hii.
Nahisi Mange hapa kwenye timing ndo kakosea, angeacha ifike ile October kati kati, unaachia hii yaan ingekuwa decapitative strike.

Pia nimemuelewa kufanya sasa, alitaka kuamsha walio lala, na kuwapa ujasiri kuwa hawapo peke yao, wajitoe kusukuma taarifa hata kwa wasio kwnye mitandao kuwa jeshi lao liko pamoja, hata kma kuna mwanajeshi alijihisi yuko peke yake kwenye hili, akiona hii anajua kumbe tuko wengi. Probably Mange anajaribu pia kumshawishi Suluhu abadili mawazo maana kwa hii video aliyopost, inafanana na movie moja inaitwa “The enemy within”
 
Hajakosea, by deception only you will win war.

Serikali inatakiwa itumie resources zao na kufanya moves zao, nyingi na bila kutafakari
 
Mkuu 'Lwiva' siamini kuwa unaitakia nchi yetu mema hata kidogo kama unayo mawazo ya namna hiyo.
Zungumzia hao unaowaona kuwa na tabia hizo mbaya.

WaTanzania wanawake/waislam hawawezi kuwa na tabia hizo ulizo taja wewe kwa sababu tu ya imani yao.
 
Hajakosea, by deception only you will win war.

Serikali inatakiwa itumie resources zao na kufanya moves zao, nyingi na bila kutafakari
But, on the other hand, anatibua. Hata hao wanaoumia mioyo sasa watasita.

Hiki ni kihelehele alicho onyesha hapa; pengine ni msukumo wa faida inayotokana na kutoa taarifa kama hii, badala ya kuwa msukumo wa kujali zaidi taifa hili.

Hakuna mzaha mzaha kwenye jambo muhimu kama la ukombozi wa nchi hii. Huwezi kuropoka hovyo hovyo tu kwenye maswala kama haya., ili kuonyesha umuhimu ulio nao wewe.
 
Her hustle doesn’t concern me, especial if she is exploiting her abilities (I believe she is worth more than that).

By me saying she is my people it’s alluding to ‘alumni’ sometime in our past life we went to the same school.

Never worry about people hustle, business wise respect her ingenuity. Politic wise she is somewhat over ambitious.
Trust me, no ill intent on her or worries on her hustle...
My point is she is smart, she got the opportunity and she is exploiting it to the full extent
The political mumbo jumbo was what made her break even on her influencer path , and when it was no longer a news, she switched to menial gossip,
Then here we go again, and I don't think she got any intended political ambitions other than keeping the flow open on her channels....
 
Back
Top Bottom