GE2025 Kama Kuna mtu anaamini Watanzania hawana uwezo wa kuitoa CCM ni mjinga

GE2025 Kama Kuna mtu anaamini Watanzania hawana uwezo wa kuitoa CCM ni mjinga

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
But, on the other hand, anatibua. Hata hao wanaoumia mioyo sasa watasita.

Hiki ni kihelehele alicho onyesha hapa; pengine ni msukumo wa faida inayotokana na kutoa taarifa kama hii, badala ya kuwa msukumo wa kujali zaidi taifa hili.

Hakuna mzaha mzaha kwenye jambo muhimu kama la ukombozi wa nchi hii. Huwezi kuropoka hovyo hovyo tu kwenye maswala kama haya., ili kuonyesha umuhimu ulio nao wewe.
Anyway, all in all, wahusika ujumbe wameupata, kuwa jeshini nako kumegawanyika.

Vyanzo vya ndugu Polepole sio mchezo, ameshalisema hili mara nyingi kuwa Taifa limegawanyika, mpaka mwanajeshi anajilipua hvyo kwenye kosa ambalo adhabu yake ni Kifo, basi ujue sio mchezo.
 
Mimi naamini hivyo!

Watanzania sisi tuliopo hatuna uwezo wa kuiondoa CCM madarakani.

Kwa sasa hatuna huo uthubutu na kuna idadi kubwa sana ya watu wanaosumbuliwa na Stockholm Syndrome.
 
Trust me, no ill intent on her or worries on her hustle...
My point is she is smart, she got the opportunity and she is exploiting it to the full extent
The political mumbo jumbo was what made her break even on her influencer path , and when it was no longer a news, she switched to menial gossip,
Then here we go again, and I don't think she got any intended political ambitions other than keeping the flow open on her channels....
You are better than that, I don’t want be championing her moves. But give credit where it’s due.

Personal I have come to know many of Tanzania supposedly ‘IT girls’ through her previous blog (forgot name) and that’s when I started following bongo celebrities.

Yaani bila ya Mangę nisingemjua, Faraja Nyalandu, Jacqueline Mengi, Nancy Sumari, Mwamvita Makamba na kuanza kufuatilia mastaa wa bongo leo. Mangę ndio kawaleta mjini hao watu kwa sisi wengine.

That’s to say she had been updating ignorants (atleast me) or to others building the gossip industry through her.

☝️that’s not something I worry about, nonetheless the car she is driving currently is worth way more than, her google value you quoted.

Personal the only thing that pulls me in her Instagram page to date ni ‘nyonyo’, nonetheless I don’t think she is a political threat nor undermine her enterprise when it comes to her hustle.

Otherwise kwa sasa serikalini kuna wajinga tu, like who would take the life of someone like Mdude Chadema. That is scary, kwamba uongozi wa juu umejaa upumbavu.

Sasa ogopa watu wapumbavu watakudhuru kwa ujinga uliokichwani kwa kisa uwezo wao mdogo wakufikiri.

Oh my god some intervention is needed in Tanzania, so much senseless killings. Kuna wapuuzi wengi kwa sasa wenye amri.

Power is the ability…….
 
Power is the ability to make someone do things, he won’t willingly do.

Sasa unadhani kila mwanajeshi, polisi au afisa usalama yupo happy na uongozi wa Samia?

Shida ya Mangę ni kutengeneza narrative ambayo suits her to sell it to her audience.

Wakati vita yenyewe ni ngumu kuliko uwezo wa akili yake (sisemi hana influence kwa audience yake).

But she is just shallow, hana impact
So, what do you want people to take from this confused state of mind?
 
Nahisi Mange hapa kwenye timing ndo kakosea, angeacha ifike ile October kati kati, unaachia hii yaan ingekuwa decapitative strike.

Pia nimemuelewa kufanya sasa, alitaka kuamsha walio lala, na kuwapa ujasiri kuwa hawapo peke yao, wajitoe kusukuma taarifa hata kwa wasio kwnye mitandao kuwa jeshi lao liko pamoja, hata kma kuna mwanajeshi alijihisi yuko peke yake kwenye hili, akiona hii anajua kumbe tuko wengi. Probably Mange anajaribu pia kumshawishi Suluhu abadili mawazo maana kwa hii video aliyopost, inafanana na movie moja inaitwa “The enemy within”
Tunakubaliana: Timing is everything. This is not the right time for this type of information.
 
So, what do you want people to take from this confused state of mind?
Ukishakunywaga matapu tapu yako, nonsense influence your judgement.

Hakuna hata kitu cha maana unachochangia based on my posts zaidi ya ujinga, everything is usually from your disturbed mind.

Seek help
 
Ukishakunywaga matapu tapu yako, nonsense your judgement.

Hakuna hata kitu cha maana unachochangia based on post zaidi ya ujinga from the nonsense in your disturbed mind.

Seek help
You're full of crap today. I wonder why?
Possibly it's due to your mental condition which is controlled by the alignment of the moon to the position of the sun. Your status is beyond remedy.
 
You're full of crap today. I wonder why?
Possibly it's due to your mental condition which is controlled by the alignment of the moon to the lunar system!
You would know that, the impact of lunar influence in relation to mental health.

As for me, mental health is science (be it psychology), do you know there seven school of thoughts and each defines the trigger somewhat differently.

Ujanisikia nikitwanga psychology, nakuhakikishia Kitila hafiki hata robo kwenye huo uwanja.

Back to you, what; triggered you. Maana umekuwa ukijibu ujinga from outset, contrary na post zangu.

Are you OK?
 
See what I mean!
What evidence does one need to show the state of mind of such an individual?
Wakati wewe anonymous, sisi wengine mods wenye njaa washatuuza.

Wewe unaweza kuwa na ID mia and no one cares, mimi siwezi. Yaani new ID dakika mbili JF wanaifuta.

Muulize Max kuwaridhisha hawataki niwe ID mbili.

Mengine ni maisha, I can’t go into details.

1. Narudi square one; power is the ability to make people do something otherwise they wouldn’t do.

2. Trust and resilience; njoo JF Watukane jua mipaka yako.

Mtu kama (kilaza) ni kujadiliana hoja tu in generał (huna hizo access za kuumizwa hadi uchunge kauli).

Wewe ni sawa na wana siasa wa kuokotwa na CCM na kupewa madaraka. Hawataki kuamini hizo nafasi tushakuwa offered kutokana na uwezo.

Mjomba nikikutwangwa utaumia.
 
You would know that, the impact of lunar influence in relation to mental health.

As for me, mental health is science (be it psychology), do you know there seven school of thoughts and each defines the trigger somewhat differently.

Ujanisikia nikitwanga psychology, nakuhakikishia Kitila hafiki hata robo kwenye huo uwanja.

Back to you, what; triggered you. Maana umekuwa ukijibu ujinga from outset, contrary na post zangu.

Are you OK?
What I can deduce from all of this is that your condition is getting worse than it used to be.
And obviously you're incapable of knowing that there's science involved in relation to the physical state of the human body!
 
What I can deduce from all of this is that your condition is getting worse than it used to be.
Seek help, if you start convincing yourself you know people you haven’t met in your life. That’s a problem.

A mind is free to imagine, but be realistic.

It’s up to you
 
Wakati wewe anonymous, sisi wengine mods wenye njaa washatuuza.

Wewe unaweza kuwa na ID mia and no one cares, mimi siwezi. Yaani new ID dakika mbili JF wanaifuta.

Muulize Max kuwaridhisha hawataki niwe ID mbili.

Mengine ni maisha, I can’t go into details.

1. Narudi square one; power is the ability to make people do something otherwise they wouldn’t do.

2. Trust and resilience; njoo JF Watukane jua mipaka yako.

Mtu kama (kilaza) ni kujadiliana hoja tu in generał (huna hizo access za kuumizwa hadi uchunge kauli).

Wewe ni sawa na wana siasa wa kuokotwa na CCM na kupewa madaraka. Hawataki kuamini hizo nafasi tushakuwa offered kutokana na uwezo.

Mjomba nikikutwangwa utaumia.
Aisee, huna mtu hapo karibu yako akusaidie, maana leo hali yako ni taabani kabisa!

Ungekuwa na uwezo wa kuwa na kumbukumbu, usingerudia haya yote ambayo siku nyingi nilikwisha kuambia toka zamani kuwa elimu yangu huna pa kuanzia kuihoji. Sasa unataka turudi huko tena?

Unanieleza hayo mengine ya nini mie. Sina lolote kuhusu wanalofanya wahusika wa JF. Nipo hapa kwa nia moja tu, Tanzania, na juu ya hilo sitishiki na lolote.
 
Seek help, if you start convincing yourself you know people you haven’t met in your life. That’s a problem.

A mind is free to imagine, but be realistic.

It’s up to you
Same crap, repeated over and over changes nothing!
 
It is incumbent upon us 2 cease ze dissemination ov artificially hope.

The juncture at which we currently stand reveals dat approximately 88% of all instruments of our Nation's defense and security apparatus are, in fact, aligned with the citizenry.

The sole commodity that provides the ruling class with a semblance of assurance is that performative obedience that which is visible to the eye demonstrated by the leaders they themselves selected (take note, I refer to ocular obedience, not that which is of the heart).

These actions are not undertaken from a place of animosity towards our esteemed President; no. They are executed for the sake of the broader, long term destiny of our Nation.

Tanzania is our Motherland , we possess no other country.

You guys .....
To tolerate villainy is to become complicit in it, right ?

A great many people have now refused to be participants in that very villainy.

The action undertaken by Sister Manbe Chimambi (sorry if I miss spelling her name) was a righteous one and is wholly deserving of praise and commendation.

According to ma perspective ....
De fundamental objective is to sound an alarm in the hope that grievances can be remedied. However, should the rulers deem it prudent to persist with their current courses of action, let them be cognizant of this.

the majority of those they presume to have in their corner are, in fact, on the other side....

God Bless us all
 
Back
Top Bottom