min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Hakuna kitu 95 % hawajitambui , ukikaa hapo daslamu tu ,unaweza fikiri kila mtanzania ni mjanjaš¤Nenda Tiktok, X mpaka FB aachana na jf kwa muda kule pia kawaambie labda wanafikiri watanzania wote ni X, Tiktok na FB