MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Hapa kawapata haswa, na ukiona viposti vyake anayowakoromea wakalipe buku mbili mbili...Shida ya Mangę ni kutengeneza narrative ambayo suits her to sell it to her audience.
She is my people, but she is over ambitious.Hapa kawapata haswa, na ukiona viposti vyake anayowakoromea wakalipe buku mbili mbili...
Ana akili ya yake na kajipata sana.....
She is on another level....She is my people, but over ambitious.
Ukiona Askari ameshika Silaha anamsema kiongozi wake basi jua ni suala la muda kuna siku Viongozi watauliwa kwenye gwaride au mahali wasipotarajiaPower is the ability to make someone do things, he won’t willingly do.
Sasa unadhani kila mwanajeshi, polisi au afisa usalama yupo happy na uongozi wa Samia?
Shida ya Mangę ni kutengeneza narrative ambayo suits her to sell it to her audience.
Wakati vita yenyewe ni ngumu kuliko uwezo wa akili yake (sisemi hana influence kwa audience yake).
But she is just shallow, hana impact
Her hustle doesn’t concern me, especial if she is exploiting her abilities (I believe she is worth more than that).
Ndio maana nikaandika ‘power is the ability to make someone do things, otherwise he wouldn’t willingly do.Ukiona Askari ameshika Silaha anamsema kiongozi wake basi jua ni suala la muda kuna siku Viongozi watauliwa kwenye gwaride au mahali wasipotarajia
How many lives do you have?Her hustle doesn’t concern me, especial if she is exploiting her abilities (I believe she is worth more than that).
By me saying she is my people it’s alluding to ‘alumni’ sometime in our past life we went to the same school.
Never worry about people hustle, business wise respect her ingenuity. Politic wise she is somewhat over ambitious.
Nahisi Mange hapa kwenye timing ndo kakosea, angeacha ifike ile October kati kati, unaachia hii yaan ingekuwa decapitative strike.My view on this one: she should not disclose such info at this time. This is no help to anyone for the struggle.
Hao wazalendo wacha waseme huko huko mafichoni kwa sasa. Hii kazi ni yetu sote, na msaada wao utahitajika wakati mahsusi. Sasa unapoanza kulikoroga na kuwaamsha hawa wapumbavu, hili linatusaidia vipi?
Kuna mambo hayahitaji kusemwa namna hii.
Hajakosea, by deception only you will win war.Nahisi Mange hapa kwenye timing ndo kakosea, angeacha ifike ile October kati kati, unaachia hii yaan ingekuwa decapitative strike.
Pia nimemuelewa kufanya sasa, alitaka kuamsha walio lala, na kuwapa ujasiri kuwa hawapo peke yao, wajitoe kusukuma taarifa hata kwa wasio kwnye mitandao kuwa jeshi lao liko pamoja, hata kma kuna mwanajeshi alijihisi yuko peke yake kwenye hili, akiona hii anajua kumbe tuko wengi. Probably Mange anajaribu pia kumshawishi Suluhu abadili mawazo maana kwa hii video aliyopost, inafanana na movie moja inaitwa “The enemy within”
How many lives do you have?
But, on the other hand, anatibua. Hata hao wanaoumia mioyo sasa watasita.Hajakosea, by deception only you will win war.
Serikali inatakiwa itumie resources zao na kufanya moves zao, nyingi na bila kutafakari
Trust me, no ill intent on her or worries on her hustle...Her hustle doesn’t concern me, especial if she is exploiting her abilities (I believe she is worth more than that).
By me saying she is my people it’s alluding to ‘alumni’ sometime in our past life we went to the same school.
Never worry about people hustle, business wise respect her ingenuity. Politic wise she is somewhat over ambitious.
That!sometime in our past life
How many lives do you have?