GE2025 Kama Kuna mtu anaamini Watanzania hawana uwezo wa kuitoa CCM ni mjinga

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
According to ma perspective ....
De fundamental objective is to sound an alarm in the hope that grievances can be remedied. However, should the rulers deem it prudent to persist with their current courses of action, let them be cognizant of this.
These "rulers" are beyond that point at this time. They made that determination a long time ago, when they tossed the idea of allowing the necessary reforms to allow fo Tanzanians elect their leaders freely.

Now they are bracing themselves for whatever comes, believing they have the necessary means to defeat their adversaries; including the masses they want to lead by force!.
 
Chaula, Mdude mliwaua walikuwa na impact gani??
 
Ccm itoke tu madarakani inatuharibia vijana/watoto. Hapa watasema ni kipaji sasa kipaji gani hiki?
Your browser is not able to display this video.
 
Chaula, Mdude mliwaua walikuwa na impact gani??
Lakini sisi wabongo kwa uzandiki tumeshindikana.

Hivi wapi katika michango yangu ya JF nimewahi support kupotea kwa Mdude zaidi ya kukemea

Halafu unakuja kuniwekea mtazamo ambao aunihusu kabisa.

Salaleh, sijapata kuona; uchawi wetu ni balaa.

Yaani unanitungia uongo hadharani; haki ya mungu.

Ushindwe na ulegee
 
Hapa unamjadili Mange au content ya mtoa habari?kwa ustawi wa Taifa?
Keep Mange's comments to yourself atleast for now!
 
Acha bangi na visungura
 
Acha bangi na visungura
Acha kufuatilia watu usio wajua.

You are not important to me, I shouldn’t be to you either.

Your opinion of me doesn’t matter, and I sincerely advise don’t ever think you know me.

I have learned a tough lesson wapuuzi kama nyie kwa bahati mbaya siku ya kukutana na watu udhani mnawajua kweli.

May I remind you, I don’t fucken know you and you don’t fucken know me.
 
Otherwise kwa sasa serikalini kuna wajinga tu, like who would take the life of someone like Mdude Chadema. That is scary, kwamba uongozi wa juu umejaa upumbavu.
Kumbe unaelewa sababu ni nini au sio ngoja watu waandamane
 
Mbwai na iwe mbwai
All the best in your future endeavours, count me out (hiyo ni kwa wanyofoa kucha).

I am not part of the problem, likewise siungi mkono serikali ya ki fisadi hata chembe.

How the mess is sorted out, not an iota of my problem.
 
Baki ndani wajomba na mashangazi wameshaamua wataandamana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…