Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Nadhani sasa ni dhahiri kuwa mtu ukiua watu wengi, ni lazima uathirike kisaikolojia!
Haiwezekani hata kidogo uue maelfu ya watu wasio na makosa yoyote yale halafu akili yako iendelee kuwa timamu.
Maneno aliyoyaongea huyu bibi ambaye ndo katibu mkuu wa CCM, yanastaajabisha mno.
Yaani kabisa mtu mzima na akili yako timamu na dhamiri yako iliyo safi unaweza kuita mambo kama haya kuwa ni kazi ya kutukuka?
Dalili za hawa watu kuchanganyikiwa ni hizo kauli zao ambazo wamekuwa wakizitoa pamoja na matendo yao ambayo hayaendani kabisa na kauli wazitoazo.
Kama polisi walifanya kazi ya kutukuka kama vile ambavyo huyo Asha Migiro anavyodai, kwa nini sasa wameunda tume mbili za kujichunguza?
Yaani mnafuja tu pesa kuchunguza kazi ambazo mnaziita ni za kutukuka?
Akili za wapi hizo mnazozitumia?
Kama kazi waliyoifanya ni ya kutukuka, kwa nini sasa wanatumia mapesa mengi ku lobby huko Marekani?
Halafu wanashangaa kwa nini watu siku hizi wanafurahia vifo vya hao so called viongozi!
Orodha yangu ya watu ambao nitafurahia vifo vyao inazidi kuongezeka tu.
Kila atakapokuwa anakufa kiongozi yeyote yule wa CCM na serikali yao, mimi lazima nitasherehekea kwa kufungua na kunywa chupa ya champagne!