Hata mimi sifurahi kuua watu wasio na hatia. Najuwa kuna collateral damage.Nadhani sasa ni dhahiri kuwa mtu ukiua watu wengi, ni lazima uathirike kisaikolojia!
Haiwezekani hata kidogo uue maelfu ya watu wasio na makosa yoyote yale halafu akili yako iendelee kuwa timamu.
Maneno aliyoyaongea huyu bibi ambaye ndo katibu mkuu wa CCM, yanastaajabisha mno.
Yaani kabisa mtu mzima na akili yako timamu na dhamiri yako iliyo safi unaweza kuita mambo kama haya kuwa ni kazi ya kutukuka?
View attachment 3596962
Dalili za hawa watu kuchanganyikiwa ni hizo kauli zao ambazo wamekuwa wakizitoa pamoja na matendo yao ambayo hayaendani kabisa na kauli wazitoazo.
Kama polisi walifanya kazi ya kutukuka kama vile ambavyo huyo Asha Migiro anavyodai, kwa nini sasa wameunda tume mbili za kujichunguza?
Yaani mnafuja tu pesa kuchunguza kazi ambazo mnaziita ni za kutukuka?
Akili za wapi hizo mnazozitumia?
Kama kazi waliyoifanya ni ya kutukuka, kwa nini sasa wanatumia mapesa mengi ku lobby huko Marekani?
Halafu wanashangaa kwa nini watu siku hizi wanafurahia vifo vya hao so called viongozi!
Orodha yangu ya watu ambao nitafurahia vifo vyao inazidi kuongezeka tu.
Kila atakapokuwa anakufa kiongozi yeyote yule wa CCM na serikali yao, mimi lazima nitasherehekea kwa kufungua na kunywa chupa ya champagne!
Pia soma:PostGE2025 - Asha-Rose Migiro: Vyombo vya Ulinzi vilifanya kazi ya kutukuka Oktoba 29 kwa Taifa letu
Nadhani sasa ni dhahiri kuwa mtu ukiua watu wengi, ni lazima uathirike kisaikolojia!

Hata mimi sifurahi kuua watu wasio na hatia. Najuwa kuna collateral damage.
Lakini tumewahi kujiuliza kuwa ingekuwaje kama Serikali isingetumia :excessive force" dhidi ya wale waandamanaji waliochanganyika na magenge ya wezi na waharibifu?
Imagine zile riots zime last kama 6 -8 hours tu lakini kiwango cha uharibifu ni wizi wa mali binafsi, uchomaji miundombinu ya Mwendokasi, uharibifu wa vituo vya Polisi, TRA, Mahakama na Dawasa. What if Serikali ingetumia ile "reasonable force" na tukachukua siku 2 au 3 au wiki, tungekuwa na hali gani sasa hivi?
kwanini gari za washawasha na mabomu ya machozi havikutumika kuwakamata waharifu? Je, kipi ni bora zaidi kati ya uhai na mali? Nikwamba raia hawanathamani ndani ya nchi yao na nguvu kazi ya taifa haina thamani sana kwenye taifa...Yote kwa Yote MARIDHIANO na KATIBA MPYA sambamba na kufumua mifumo iliyopitwa na wakati ndo mwarobaini wa yote.Hata mimi sifurahi kuua watu wasio na hatia. Najuwa kuna collateral damage.
Lakini tumewahi kujiuliza kuwa ingekuwaje kama Serikali isingetumia :excessive force" dhidi ya wale waandamanaji waliochanganyika na magenge ya wezi na waharibifu?
Imagine zile riots zime last kama 6 -8 hours tu lakini kiwango cha uharibifu ni wizi wa mali binafsi, uchomaji miundombinu ya Mwendokasi, uharibifu wa vituo vya Polisi, TRA, Mahakama na Dawasa. What if Serikali ingetumia ile "reasonable force" na tukachukua siku 2 au 3 au wiki, tungekuwa na hali gani sasa hivi?
Tundu na Heche walionywa na akina Jaji Warioba na Raila Odinga kuwa hamuwezi kusimamisha uchaguzi kamwe, endeleeni kuomba reforms zinazowezekana lwa kipindi hiki.Mkuu tatizo sio kujiuliza nini kingetokea kama wasingewaua watu.
Cha kujiuliza ni kwamba kwa nini hawakutaka kabisa kuwasikiliza wananchi kabla ya hiyo October 29?
Labda hawakutaka kuwasikiliza kwa sababu walijua wazi kwamba watawauwa tu.
Watu wengi walilalamika, wengine wakashauri na kuomba kwamba tukae pamoja kabla ya kuendea uchaguzi, tuwasikilize wananchi vile wanavyotaka vifanyiwe kazi hata vichache lakini walikaza na kushupaza shingo zao.
Tena kila aliyesimama alikejeli kwa kauli za ajabu ajabu mfano
"watakwaa kisiki"
"hakutakuwa na nywinywi wala....."
"watoke tu waone...." nk
Kwa kauli hizo tu ni wazi walijipanga kuuwa raia bila kujibu hoja zao.
Wao waliona njia bora ya kujibu hoja na malalamiko ya wananchi ni kwa kuwaua kinyama, jambo ambalo wamelifanya ili wapate hayo madaraka na wamepata.
Sasa utaujiuliza baada ya kupata hayo madaraka watawaongoza akina nani kama si wananchi ambao wamewaua?
Unasema hivyo kwa kuwa ulikuwa sebuleni kwako ukiangalia TV. Ile mob ulikuwa huwezi kui control kwa mabomu ya machozi. Risasi za moto ndiyo zimeleleta heshima na utulivu huu tulionao leokwanini gari za washawasha na mabomu ya machozi havikutumika kuwakamata waharifu? Je, kipi ni bora zaidi kati ya uhai na mali? Nikwamba raia hawanathamani ndani ya nchi yao na nguvu kazi ya taifa haina thamani sana kwenye taifa...Yote kwa Yote MARIDHIANO na KATIBA MPYA sambamba na kufumua mifumo iliyopitwa na wakati ndo mwarobaini wa yote.
sio kweli..hyo ni sawa na mtu anamuuwa panya kwa risasi eti kwakisingizio kwamba panya huyo alitaka kung'ata..Unasema hivyo kwa kuwa ulikuwa sebuleni kwako ukiangalia TV. Ile mob ulikuwa huwezi kui control kwa mabomu ya machozi. Risasi za moto ndiyo zimeleleta heshima na utulivu huu tulionao leo
Hata kama zingedumu miezi 2-3 hizo mali zilizoibwa au vituo vilivyo chomwa vina tengenezeka au kununulika tena. Ila UHAI ni wapi utanunua??Hata mimi sifurahi kuua watu wasio na hatia. Najuwa kuna collateral damage.
Lakini tumewahi kujiuliza kuwa ingekuwaje kama Serikali isingetumia :excessive force" dhidi ya wale waandamanaji waliochanganyika na magenge ya wezi na waharibifu?
Imagine zile riots zime last kama 6 -8 hours tu lakini kiwango cha uharibifu ni wizi wa mali binafsi, uchomaji miundombinu ya Mwendokasi, uharibifu wa vituo vya Polisi, TRA, Mahakama na Dawasa. What if Serikali ingetumia ile "reasonable force" na tukachukua siku 2 au 3 au wiki, tungekuwa na hali gani sasa hivi?
Kama risasi za moto zimeleta hayo uyasemayo, kwanini mna TAPA TAPA. Endeleeni kunywa ghahawa yakhee kama inashukaUnasema hivyo kwa kuwa ulikuwa sebuleni kwako ukiangalia TV. Ile mob ulikuwa huwezi kui control kwa mabomu ya machozi. Risasi za moto ndiyo zimeleleta heshima na utulivu huu tulionao leo
Huyu mama ni jirani yangu na alikua best sana wa MamaSikujua kama Dr. Asha Migiro angejitoa ufahamu hadi kufikia level ya akina Dotto Magari kweli CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu na majuha.
Nini panya? Hata mbu mmoja tu akiingia kwenye chandarua huwezi kulala lazima umuue!!sio kweli..hyo ni sawa na mtu anamuuwa panya kwa risasi eti kwakisingizio kwamba panya huyo alitaka kung'ata..
Tundu na Heche walionywa na akina Jaji Warioba na Raila Odinga kuwa hamuwezi kusimamisha uchaguzi kamwe, endeleeni kuomba reforms zinazowezekana lwa kipindi hiki.
Raila aliendelea kusema pamoja na harakati zake hajawahi kuingiza watu barabarani kutaka kupindua Serikali.
Shida viongozi wenu nao ni pasua kichwa
CCM ina elements za ushetani na uovu, nilisikitika sana kumsikia akisema kuwa Polisi walifanya kazi iliyotukuka tarehe 29.10.2025,Huyu mama ni jirani yangu na alikua best sana wa Mama
Ila alipoteuliwa tu KM ,CCM niliacha hata kumtembelea
kubali ukatae nguvu ilitumika ni kubwa sana.Nini panya? Hata mbu mmoja tu akiingia kwenye chandarua huwezi kulala lazima umuue!!
Au siafu aingie kwenye suruwali yako hadi kwenye uume/uke, utavua suruali ili umtoe
Uhai wa mtu anachoma kituo cha Petroli ambacho mwenzie amekusanya mtaji zaidi ya miaka 30 una faida gani?Hata kama zingedumu miezi 2-3 hizo mali zilizoibwa au vituo vilivyo chomwa vina tengenezeka au kununulika tena. Ila UHAI ni wapi utanunua??
Pokeeni matokeo ya kutumia NGUVU pasi na kutumia AKILI.
Mkuu CCM ni Wana dharau sana, na Hivi Sasa wamewapa madaraka police na wale wa suti kuwalindia Maslahi Yao, jamaa hawana huruma hata kdg na wananchiCCM ina elements za ushetani na uovu, nilisikitika sana kumsikia akisema kuwa Polisi walifanya kazi iliyotukuka tarehe 29.10.2025,
Hata mimi natoa mawazo binafasi. Ndiyo maana nimechukua hoja ya "what if" Serikali ingewaendekeza mnaowaita waandamanaji!! Ni nini kingetokeaKwanza samahani mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa wala sina ndoto ya kuwa mwanachama wa chama chochote cha kisiasa.
Ninatoa tu maoni yangu kama raia wa kawaida.
Pili, unachosema kwamba hao sijui wa upinzani walishauriwa wakakataa ni kujaribu kuwatwishwa lawama ya mauaji ya raia yaliyofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama.
Hata hizi tume zinazoundwa lengo ni hilo tu, kujaribu kuisafisha serikali na vyombo vya ulinzi na usalama kwamba wao hawahusiki na mauaji hayo.
Hili ni kosa kubwa sana ambalo watawala walifanya na bado wanafanya, kuamini kwamba watu waliandamana kwa sababu wapinzani na wanaharakati waliwachochea:- mkuu tujiulize tu hivi leo naweza kumshawishi mtoto wako akugomee na akakubali kirahisi kama wewe mzazi unamsikiliza na kumpatia haki zake kwa uwezo wako wote? (Ni hapana kubwa tu).
Namaanisha kwamba kama kweli wananchi waliandamana kwa sababu ya ushawishi basi serikali (ambaye ndiyo mzazi) alikuwa haitendei haki au kuwasikiliza wananchi wake.
Kosa ambalo watawala wanaendelea kulifanya ni kuamini kwamba kila kitu wanachofanya au wanachosema wananchi hufanya au husema hivyo kwa sababu sababu ni wa vyama fulani au kwa sababu wameshawishiwa sijui na wanasiasa au wanaharakati fulani. (Naona hata wewe mkuu ushaniweka kwamba mimi ni mpinzani kwa sababu tu ya hoja zangu... 😂 😂).
Watawala wangekuwa wanajibu hoja za wananchi na kuachana na hii tabia ya kudhani kwamba wananchi wanaotoa hoja pinzani wameshawishiwa naamini hata hayo ya October 29 yasingetokea.